TimeOut JF-Expert Member Joined Sep 20, 2022 Posts 3,894 Reaction score 8,454 Nov 15, 2022 #21 Wengine tupo kwenye 4len! Under_One_Dollar mupoo![emoji389]
Rockefeller JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 1,209 Reaction score 2,243 Nov 15, 2022 Thread starter #22 kibori nangai said: Unaaaa tuu wala hakuna lolotee Zaidi hawa waarabu Koko walioridhi kwenye Biashara za watumwa Click to expand... Kwenye hio 2559 hadi wandengeleko wapo chief!
kibori nangai said: Unaaaa tuu wala hakuna lolotee Zaidi hawa waarabu Koko walioridhi kwenye Biashara za watumwa Click to expand... Kwenye hio 2559 hadi wandengeleko wapo chief!
Rockefeller JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 1,209 Reaction score 2,243 Nov 15, 2022 Thread starter #23 Bujibuji Simba Nyamaume said: Kwa hiyo unataka kuniambia kwamba hela ni liability, sio? Click to expand... Mimi sio mchumi lakini ukisema mfano Rostam ana hisa za $250M vodacom nayo si ndio asset hio!
Bujibuji Simba Nyamaume said: Kwa hiyo unataka kuniambia kwamba hela ni liability, sio? Click to expand... Mimi sio mchumi lakini ukisema mfano Rostam ana hisa za $250M vodacom nayo si ndio asset hio!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Nov 15, 2022 #24 Capital stock hiyo. Halafu mtu anatuletea longoni Rockefeller said: Mimi sio mchumi lakini ukisema mfano Rostam ana hisa za $250M vodacom nayo si ndio asset hio! Click to expand...
Capital stock hiyo. Halafu mtu anatuletea longoni Rockefeller said: Mimi sio mchumi lakini ukisema mfano Rostam ana hisa za $250M vodacom nayo si ndio asset hio! Click to expand...
TimeOut JF-Expert Member Joined Sep 20, 2022 Posts 3,894 Reaction score 8,454 Nov 15, 2022 #25 Rockefeller said: Mimi sio mchumi lakini ukisema mfano Rostam ana hisa za $250M vodacom nayo si ndio asset hio! Click to expand... Capital/ current asset ni vile unaitumiaje vilevile inaweza kua liability kama itakua inakupelekapeleka kama ndondocha!
Rockefeller said: Mimi sio mchumi lakini ukisema mfano Rostam ana hisa za $250M vodacom nayo si ndio asset hio! Click to expand... Capital/ current asset ni vile unaitumiaje vilevile inaweza kua liability kama itakua inakupelekapeleka kama ndondocha!
Rockefeller JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 1,209 Reaction score 2,243 Nov 15, 2022 Thread starter #26 Bujibuji Simba Nyamaume said: Capital stock hiyo. Halafu mtu anatuletea longoni Click to expand... Kwaio hio capital stock haihusiani na utajiri?
Bujibuji Simba Nyamaume said: Capital stock hiyo. Halafu mtu anatuletea longoni Click to expand... Kwaio hio capital stock haihusiani na utajiri?
Rockefeller JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 1,209 Reaction score 2,243 Nov 15, 2022 Thread starter #27 Emushi said: Capital/ current asset ni vile unaitumiaje vilevile inaweza kua liability kama itakua inakupelekapeleka kama ndondocha! Click to expand... [emoji1666]
Emushi said: Capital/ current asset ni vile unaitumiaje vilevile inaweza kua liability kama itakua inakupelekapeleka kama ndondocha! Click to expand... [emoji1666]