Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Kumbe hii ni mechi ya kukamilisha ratiba. Nigeria na Tanzania hawana nafasi ya kukwalifai kwenda Gabon. Hovyo!!!!!
 
Hawa watu wetu hawajiamini sijui vipi pasi zao sio za uhakika mda mwingine.
 
Bongo tupo nyuma kila kitu isipokuwa Kuchonga. Kuchonga kwenyewe labad tutashindwa tukiingia katika mashindano ya kuchonga.
 
Naona msaada umebaki kwa kipa tu wengine hawa wakitishiwa chenga wanapeleka makalio!
 
Safi sana!
Vijana wamekaza, safi mno!
 
Kibongo zaidi.....Makipa wangekuwa na soko kama wachezaji wengine kipa wetu angepata soko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…