Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Shein anakabidhiwa nchi mkuu anajiuzulu
 
Spika:Karibu rais,
Rais: Sina budi nianze kwa kushukuru Mungu kwa kutujalia uhai....na kukutana tena, Miaka miwili na miezi saba baadaye.....
 
Mwanakijiji wapi tunasikiliza live?sipaoni katika klhnews..msaada please..

nasikiliza kupitia radio maria kwa sasa
 
Anasema hii ni awamu ya nne, na amefika nusu ya safari yake ya miaka mitano. Katika nusu ya kwanza amepata mafanikio mengi, kwa ujumla mambo si mabaya
 
hivi hawa wabunge kazi yao ni kupiga makofi tu hata kama sio muhimu
 
Anamshukuru PM Pinda kwa simamia vizuri kazi za serikali bungeni...hii ina maana anamuunga mkono maoni yake kuhusu Zanzibar...
 
Back
Top Bottom