sasa anasema aliyosema mzee aliyeanzisha hii thread kuhusu TAKUKURU eti kuanzisha ofisi za TAKUKURU .. anatoa data kuhusu watu waliochukuliwa sheria na TAKUKURU, inaonekana ameridhishwa na ufanisi wa TAKUKURU... hajasema nani wamechukuliwa sheria, hajasema mapapa wa rusha... sasa anasema kuhusu kuboresha sheria ya manunuzi... hajanikuna jamani