mwenzenu... nimeamua kurudi kuandika hadithi zangu na visa vya kufikirika; sidhani kama mimi na Kikwete tunaishi sayari moja.
Hatawashtaki vipi na hela haikuwa ya serikali?hapo inabidi kuwashtaki wafanyakazi waliobunja taratibu za kiserikali,ata hivyo hayo makampuni ambayo yalisingiziwa yametoa ruhusa inabidi yapatikane ili kuthibitisha kuwa ni kweli jambo ambalo litakuwa ni gumu sana hasa ukizingatia yenyewe yalishafuta madeni hayo na hayana mpango na hio hela tena.Na nionavyo mwaka 2010 atashinda tena ingawa si kwa kura nyingi kama alivyo pata 1995. kweli JK nimsaani na nimeani huyu ndiyo mwanasiasa....hivi wale watu wa EPA wakirudisha pesa hawatashitakiwa!? mbona mimi si jamuelewa....
....., hasa wasomi na waliosomasoma wanaendelea kuipenda na kuikumbatia CCM, kwa madai kwamba iliwasomesha na wametoka nayo mbali, nchi yetu imeliwa! QUOTE]
KM
Ukiwa umesoma na ukashindwa kuelewa kiini cha matatizo ya mtanzania usomi wako ni sifuri.
Usomi gani unashindwa hata kusaidia kizazi chako cha pili kwa kuwawekea msingi mzuri wa maisha.
Eti nina digrii, msc, phd, call me prof, uwiiiiiiiiiiiiii
sawasawa.... sasa tutazuiaje wizi wa kura?2010 naomba jamani wote tupigeni kura tusiache wapiga kura wachache watuharibie nchi....tuingie wote katika hii battle tuiokoe nchi yetu jamani..tunadharaulika hivi hivi..na tukidharauliwa tunakasirika...Please Please Please!! tusibaki kulalamika tu..tutumieni nguvu tuliyonayo ambayo ni kubwa kuliko hii ya kupayuka kwa maandishi.....kura is everything ..kura is the only thing ambayo ita tu save watanzania na shida zote hizi za viongozi kama hawa........yaani leo nimetamani kutoa chozi!!
2010 naomba jamani wote tupigeni kura tusiache wapiga kura wachache watuharibie nchi....tuingie wote katika hii battle tuiokoe nchi yetu jamani..tunadharaulika hivi hivi..na tukidharauliwa tunakasirika.
Please Please Please!! tusibaki kulalamika tu..tutumieni nguvu tuliyonayo ambayo ni kubwa kuliko hii ya kupayuka kwa maandishi.....kura is everything ..kura is the only thing ambayo ita tu save watanzania na shida zote hizi za viongozi kama hawa........yaani leo nimetamani kutoa chozi!!
jamani kuliko kuendelea kujadili hotuba mbovu ambayo hatuna uwezo wakubadili kitu hapo(yaani ndo imetoka) nadhani ingekuwa ni busara kuanza kupanga mikakati ya kura za kumng'oa yeye na kumpata kiongozi bora
hasa ukizingatia hawa watu ni wezi wa kura