Fisadi Mtoto
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 639
- 82
Hapa umejaa wivu na husuda tu,hutuba ya jakata ni imara na inasema ukweli tupu...hapa mmejawa na chuki kwa nini hawajafungwa....wivu tupu.hafungwi mtu na nchi inasonga mbele.Ni watu wanaofikiria huru kama mimi ndio wanaoweza kuchambua kwa haki... sio wale ambao mkate wao wanapatia kutoka CCM, au wale ambao wanategemea panapo 2010 na wao... wapate fedha za walipa kodi....
Kuna mambo ya msingi kabisa JK ambayo ameongelea... Nitataja machache!
1. Mchakato wa Sheria ya Uchaguzi (Election Financing) ndani ya vyama na wakati wa uchaguzi wa vyama... (hiyo mahafidhina hawajaona kwamba ni jambo jema)... by April 2009 sheria itakuwa imefikishwa bungeni.
2. Sheria ya kumpa au kuipa taasisi ya Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali Meno.
3. Kupitishwa kwa sheria mpya ya TAKUKURU.
4. Marekebisho ya Sheria ya EWURA.
5. Ukuaji wa Demokrasia na Uhuru wa maoni!
6. Fedha za EPA, kwenda kwenye TIB kuanzisha mtaji wa Kilimo, zingine kwenda kwenye ruzuku ya Mbolea na Dawa za Mifugo...
7. Chuo Kikuu cha Dodoma, Intake expected to 8,000 students, Kitila tukitoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam tulikuwa kama 5,000/-
8. Ukuaji wa Utalii - mapato kutoka $600mi.. kwenda $1200mil and USA kuongoza kwa watalii.
9. Umeme kwa wilaya zote nchini except Nkasi at least by now... but they are working on it.
10. Amezungumzia barabara kwa undani... mwenye akili timamu anaweza kujua hilo.
11. Issue ya Zanzibar done.
12. Issue ya Richmond... out of the scope... waziri Mkuu ndiye ataipeleka Bungeni specific, hivyo hakutakiwa kuizungumzia.
13. Muafaka ni sehemu ambayo bado wako nyuma.
14. Mambo ya inflation ameongelea kwa namna ambayo hata mimi nilikuwa sikuwa fahamu adhari zinginge ukitegemea mimi nimesomea mifugo.
15. Michezo... focus tunapeleka kwenye riadha.
16. Amedumisha utawala bora... waliosikiliza alisoma mapendekezo ya CAG. na hatua alizochukua ikiwa pamoja na kuunda tume ya Mwanyika...kurudishwa kwa fedha...
My take kwenye hili... huu ndio ulikuwa mchezo wetu waTanzania wengi wa Kuiba... dawa ilikuwa baada ya fedha zetu kurudishwa.. tuachane nao tuendelee na shughuli zingine we have other priorities... mifano hii imefanyika sehemu nyingi duniani kwa watu makini...
South Africa: Baada ya ubaguzi Mandela alivyochukua nchi... hakuwapeleka wazungu magereza aliunda tume ya maridhiano mambo yakaisha.
Kenya: Baada ya mauaji... wanachofanya sio kupelekana magereza.
Zambia: walifanya tofauti... wakatimuana kila wakati... b'se of nonsense decision za Chiluba.
11. Issue ya Zanzibar done.
Kasheshe niliposema wanaoserve at the pleasure of the President ana uwezo wa kuwafukuza at will...
..are you serious, really?
Hapa umejaa wivu na husuda tu,hutuba ya jakata ni imara na inasema ukweli tupu...hapa mmejawa na chuki kwa nini hawajafungwa....wivu tupu.hafungwi mtu na nchi inasonga mbele.
Ni watu wanaofikiria huru kama mimi ndio wanaoweza kuchambua kwa haki... sio wale ambao mkate wao wanapatia kutoka CCM, au wale ambao wanategemea panapo 2010 na wao... wapate fedha za walipa kodi....
Kuna mambo ya msingi kabisa JK ambayo ameongelea... Nitataja machache!
1. Mchakato wa Sheria ya Uchaguzi (Election Financing) ndani ya vyama na wakati wa uchaguzi wa vyama... (hiyo mahafidhina hawajaona kwamba ni jambo jema)... by April 2009 sheria itakuwa imefikishwa bungeni.
2. Sheria ya kumpa au kuipa taasisi ya Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali Meno.
3. Kupitishwa kwa sheria mpya ya TAKUKURU.
4. Marekebisho ya Sheria ya EWURA.
Zambia: walifanya tofauti... wakatimuana kila wakati... b'se of nonsense decision za Chiluba.
Bado hujajua kwamba Zanzibar sio nchi?
..kwahiyo?
..ndio limeisha?
Nadhani sio marekebisho ya EWURA ila ni PPRA (Public Procurement Regulatory Authority).....kuhusu sheria za manunuzi
inaelekea kuna watu wanamasikio lakini hawasikii.wanamacho hawaoni.wanapua hawanusi.Aliyosema Rais ni mambo ya muhimu tupu.Na suala la EPA hiyo ni njia sahihi.kwani kumfikisha mahakamani ni criminal offence.atafungwa na ataakiwa kulipa akitoka jela.serikali itakuwa imepata nini.Bora hivyo walivyorudisha.Marangapi serikali imekuwa ikishindwa kesi.jee mlitaka iwe hivyo.Kwangu mimi hotuba ya kikwete imekata NGEBE za wazushi wote.ameeleza mafanikio na matatizo ya serikali yake katika kipindi cha miaka miwili.Wa JF mnaonaje ntazamo wangu huo?
Duh, maspin docta wameingia humu lakini ni vituko! Kuna mtu wa kumtetea lakini siyo JK he is beyond salvation!!!
My take kwenye hili... huu ndio ulikuwa mchezo wetu waTanzania wengi wa Kuiba... dawa ilikuwa baada ya fedha zetu kurudishwa.. tuachane nao tuendelee na shughuli zingine we have other priorities... mifano hii imefanyika sehemu nyingi duniani kwa watu makini...
South Africa: Baada ya ubaguzi Mandela alivyochukua nchi... hakuwapeleka wazungu magereza aliunda tume ya maridhiano mambo yakaisha.
Kenya: Baada ya mauaji... wanachofanya sio kupelekana magereza.
Zambia: walifanya tofauti... wakatimuana kila wakati... b'se of nonsense decision za Chiluba.
Ndio mkuu... majibu zaidi... ambayo sijaandika mimi haya hapa
Na Kizitto Noya
RAIS Jakaya Kikwete amevunja ukimya na kumaliza mjadala wa hadhi ya Zanzibar kwa kusema kuwa, Zanzibar sio nchi bali kimataifa kuna nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Hivi kweli Watanzania tangu miaka 44 ya Muungano bado tunashindwa kuelewa kwamba zilizokuwa nchi mbili huru, Zanzibar na Tanganyika, ziliungana na kuunda nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?" alihoji Rais Kikwete aliyeonekana kukunja uso.
Habari zaidi... bofya tofuti ya mwananchi
Ha ha ha Ho ho ho Bwaha ha ha. Nimepoteza masaa karibu manne kumsikiliza na kumwangalia JK akitoa hotuba.
Tabasamu na kicheko chake we acha tu. Sikuona mengine.
..baada ya siku kadhaa,utaelewa nini ninachokisema.
..kumbuka, nyerere hayupo!
Ndugu yangu nisaidie... hapa JF kuna kundi kubwa linapenda kujadili watu...
Mimi namsupport sana Rais kwa kutofanya mambo ya kupeleka watu mahakamani especially kwa jamii ambayo haya ndio yalikuwa maisha yao....
Nani asiyejua matajiri wengi walioinukia miaka ya kipindi cha mwinyi almost wote walikuwa wa mision town?
Dawa tumechukua hela zetu... na nitamlaumu sana rais kama hali kama hii itatokea tena mbeleni alafu mtu asipelekwe mahakamani... lakini kwa hapa... Mheshimiwa Rais tuko wananchi ambao kwa hakika tunajua ulichofanya ni sawa kabisa kuhusu EPA.