Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)


Ni kweli! Nadhani kwenye prompter kulikuwa ba bullet points ambazo alikuwa anatumia kama mwongozo wa hotuba yake.
 
Ongeza kidogo choices za ku-vote lakini mpiga kura ajaribu kufikiria kidogo. Kwa mfano: Nzuri sana, Nzuri, mbaya, mbaya sana.

Pia itakuwa vyema kama watu wataweza kupendekeza ni mambo gani ambayo (say mawili) Rais ali-bore sana, alifanya vizuri. Pia ni mambo gani kila Mtanzania angependa rais azungumzie katika hotuba zake lakini hakuyagusa.
 
Au baada ya hotuba walipita hapa JF kuona reaction za akina Mwkjj na wameona hotuba imepondwa sana na sasa wanasita kuianika yote hadharani mpaka hali itulie.
 
Au baada ya hotuba walipita hapa JF kuona reaction za akina Mwkjj na wameona hotuba imepondwa sana na sasa wanasita kuianika yote hadharani mpaka hali itulie.

Kama ni hivyo watakuwa wajinga maana hotuba tayari watu wanayo kwenye audio so what good does it not to release it when one can just simply listen to it? If true, then it's kinda dumb...
 

Invisible.. alikuwa anasoma kutoka kwenye teleprompter.. na ili uweze kusoma kwenye hilo dubwasha maandishi yanakuwa kwenye digital format na hivyo kuweza kupitishwa kwenye screen ya hiyo teleprompter.. zaidi ya yote yeye alipokuwa amesimama pale jukwaani alikuwa na nakala ya hard copy (karatasi) just in case ile teleprompter ikashindwa kufanya kazi. Na siamini nakala hiyo ilichapwa kwa typewriter ya bibi. Itakuwa imechapwa kwenye kompyuta na hivyo original ilikuwa kwenye digital format (soft copy).

Hivyo mahali fulani ile hotuba ya Rais iko kwenye digital format na inawezekana kuwa copied and pasted kwenye Word, Email n.k na kama kuna cha kufanyika ni kureflect jambo lolote alilolisema hewani ambalo halikuwa originally kwenye maandishi.

got it?
 
mi nilifikiri baada ya kuhutubia bunge angeruhusu angalau mwaswali machache kutoka kwa wabunge lakini hamna mi naomba awe anatoa nafasi za maswali kwenye hotuba zake hasa zile za mwisho wa mwezi kuna mambo mengi muhimu hajayasema kwenye hii hotuba
 


Ikulu hawaamini kama ndiyo ile hotuba waliyo andika wao na ndiyo maana wameingia mitini nayo .Je Bungeni haiwezi kupatikana katika Archives jamani ?
 
Salva anasema kuwa kuna maneno ambayo Muungwana aliongeza mambo mengi ambayo hayakuwamo katika hotuba, anasema sasa hivi ndio wanaishughulikia kuongeza hayo mengine ya nyongeza
 
itakuwaje nzuri wakati watu wamerudisha hela na hawajashtakiwa ?? kama huo ndio utaratibu basi awatangazie wezi wote kama wanaweza kurudisha walichoiba basi warudishe na tuwaachie kama hao mafisadi na yale maazimio 21 ya bunge mbona unagwaya kuyatekeleza?? mi naona ilikuwa hotuba ya kichefu chefu .
 
Salva anasema kuwa kuna maneno ambayo Muungwana aliongeza mambo mengi ambayo hayakuwamo katika hotuba, anasema sasa hivi ndio wanaishughulikia kuongeza hayo mengine ya nyongeza
LoL,

Salva hapokei simu yangu mkuu!
 
Salva anasema kuwa kuna maneno ambayo Muungwana aliongeza mambo mengi ambayo hayakuwamo katika hotuba, anasema sasa hivi ndio wanaishughulikia kuongeza hayo mengine ya nyongeza

Ndiyo hiki nilichokisema;

kama kuna cha kufanyika ni kureflect jambo lolote alilolisema hewani ambalo halikuwa originally kwenye maandishi.

lakini hili nalo si kweli kwa sababu wakati anazungumza hewani, kuna mtu/watu alikuwa anatakiwa kufuatilia hotuba ya Rais na kumark wapi kimeongezwa na kuanza kufanya masahihisho. Kama Rais Kikwete kaongeza "mengi" hewani basi ndiyo sababu ya kuendelea kukoroga mambo mengine.

Halafu hotuba ya masaa matatu yeye amekuwa Castro?
 
Tutaweza kweli kumsimamisha huyu mungwana 2010 kwa matukio haya ya kuumiza vichwa watu wazima???Tunahitaji umoja na mshikamano tutafika tu.Wanasubili akina Mrema watulie ndo waitoe kwani kila mtu mitaani anaponda hotuba ya jana sio siri pita pita ulizia utaambiwa tu hakuna kitu mle.
 
Yeah that is what actually I posted at this thread that probably aliyoyasema rais hayakuwa hotuba yenyewe and probably yameongezewa sana!
 
JF kwa utaratibu wa kawaida, Hotuba hiyo itapatikana muda si mrefu kupitia "Hansard" ya Bunge. Iwapo kweli inafanya mchezo huo, basi ni mchezo mchafu. Hata hivyo, ni kielelezo dhahiri, kama wanakataa kutoa hotuba, je wataweka hadharani hiyo Taarifa ya kina Mwanyika! Inasikitisha sana.
 
Salva anasema kuwa kuna maneno ambayo Muungwana aliongeza mambo mengi ambayo hayakuwamo katika hotuba, anasema sasa hivi ndio wanaishughulikia kuongeza hayo mengine ya nyongeza

Mhutubiaji hafungwi na kilichoandikwa katika hotuba. Ndio maana Muungwana alitumia umahiri wake wa lugha ya Kiswahili cha Mwambao kuchomeka vionjo kama 'liwa ule', 'ni sharbiti' na 'mtego ukinasa! Vionjo hivyo si lazima vinukuliwe kama vilivyo katika ripoti rasmi.

Na jana Mkuu alikuwa amepania kuvunja rekodi ya Komredo Kastro ila alilazimika kutomaliza hotuba yake. Au hamkuona akipapasa kurasa ambazo alikuwa hajaziongelea?

Pia alidhamiria kumfunika Mchonga na wenzake ambao hawajawahi kutinga bungeni namna ile! Pengine anastahili pongezi kwa ujasiri ule wa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…