SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
GT, ahsante kwa kuileta hii topic.
Tukiwa tunasubiri maoni ya wengine kuhusu tenda zitakazo waendea wahusika katika programme hii (in conception); kwa sasa nitaanza tu kwa kusema kuwa 'Naupinga huu mpango wa vitambulisho vya kitaifa kwa nguvu zangu zote'. Nasema haya nikiwa na argument ambayo iko based on practicability za mpango huu.
Najua wengine wataunga mkono au wengine watapinga kutokana tu na wale watakao pata tenda. Mimi napinga pragmatically.
GT, Kuna topic nyingine tayari ipo ambayo inaongelea hii kitu... subiri nii search na kucheck kwanza imefikia wapi.
SteveD.
Mimi nadhani hii ni UDAKU.
Kuna uthibitisho gani kuwa Membe ana kampuni na anamtumia Mwikalo kama front man wake?, Ina maana Mwikalo akiamua kuwa na kampuni yake na ujuzi anao, asipewe kwasababu anamjua/kufahamina na Membe?!
Acheni wivu jamani!
Mkuu GT,
Was it necessary kumtaja huyo mkuu ambaye sijui kama kweli ni member hapa, je akiwa ni member kweli huoni kuwa hilo ulilofanya ni kinyume na utaratibu wetu hapa JF?
Ningewaomba Mods wafute hilo jina kwa kweli sio tabia njema hii, hivi kwa nini hiii JF hatuwezi kuelewana kwenye hili la majina na ID za members hapa?
I mean ishu ni nzito na ni safi sana, lakini kumtaja member inaharibu kabisa mkuu utamu wa hoja yako.
MZEE TUELEWANE
hii issue ni kweli kabisa na huyu MEMBE ambaye kusema ukweli nilidhani angeweza kuleta mabadilo makubwa pale Foreign lakini tayari keshaniboa na sasa sioni kama ana interest yoyote na ile nchi.
Hivi kweli how long does it take kufungua website ya Foreign? well, mnaweza kuliona hili ni jambo dogo lakini ukweli unabaki kuwa kama anashindwa jambo dogo kama hili what makes you think anaweza mambo makubwa?
Surprisingly huyu Membe alitaka kushindana na Agostino Mahiga! what a twat!
Mzee hili la Ugomvi lipo na Membe anatumia u close wake na jamaa "ofisi kubwa" kumfanyia FITNA waziri mkuu
ES, nakumbuka wewe ndiye unayesema TUMKOME NYANI GILADI...well i dont think kama tunaweza tukalalmika kuwa wana siasa wana double standards halafu na sisi tunaendelea kufanya hivyo au unasemaje mzee?
ASSAH MWAMBENE ni msemaji mkuu wa MEMBE au whatever they call him nowadays, na kwa kuona umuhimu wa kukeep intouch na yanayojiri kwenye JF aliamua kujiunga kama walivyojiunga akina MARJORIE MBILINYI,ZITTO KABWE,FREEMAN MBOWE na bila kumsahau JJ MNYIKA just to name a few.
muhimu ni huyo bwana MWIKALO na hiyo grand project ya MEMBE tuone itafika wapi na je inamanufaa kwa nani? and why now?
Najua kuwa my day will very long na najua as time goes by WE WILL KNOW WHAT WE DIDNT KNOW na huu si udaku
MZEE TUELEWANE
hii issue ni kweli kabisa na huyu MEMBE ambaye kusema ukweli nilidhani angeweza kuleta mabadilo makubwa pale Foreign lakini tayari keshaniboa na sasa sioni kama ana interest yoyote na ile nchi.
Mabadiliko unayotaka wewe au?
Hivi kweli how long does it take kufungua website ya Foreign? well, mnaweza kuliona hili ni jambo dogo lakini ukweli unabaki kuwa kama anashindwa jambo dogo kama hili what makes you think anaweza mambo makubwa?
How long?
Surprisingly huyu Membe alitaka kushindana na Agostino Mahiga! what a twat!
Unaleta za kuleta-Kwani na hawa walikuwa wanagombania tenda...Shabash!
Mzee hili la Ugomvi lipo na Membe anatumia u close wake na jamaa "ofisi kubwa" kumfanyia FITNA waziri mkuu
Ukiondoa kazi za serikali how would you have acted?
ES, nakumbuka wewe ndiye unayesema TUMKOME NYANI GILADI...well i dont think kama tunaweza tukalalmika kuwa wana siasa wana double standards halafu na sisi tunaendelea kufanya hivyo au unasema,je mzee?
Nakubali-oops! kumbe ES...
ASSAH MWAMBENE ni msemaji mkuu wa MEMBE au whatever they call him nowadays, na kwa kuona umuhimu wa kukeep intouch na yanayojiri kwenye JF aliamua kujiunga kama walivyojiunga akina MARJORIE MBILINYI,ZITTO KABWE,FREEMAN MBOWE na bila kumsahau JJ MNYIKA just to name a few.
Your Intentions from the start were highlighted-sasa kama huyo AM anasema kwa makuu wewe unatatizo gani?
muhimu ni huyo bwana MWIKALO na hiyo grand project ya MEMBE tuone itafika wapi na je inamanufaa kwa nani? and why now?
Unasomeka na kusikika kama Nakandamiza Kibara...msome
Najua kuwa my day will very long na najua as time goes by WE WILL KNOW WHAT WE DIDNT KNOW na huu si udaku
Game Theory ajikanganya- Jee huu ni udaku pia?
Kwangu mimi, huu mpango wa vitambulisho usubiri rural electrification at least by 80%, usubiri postcode scheme (angalau kwa dar) kukamilika- sembuse nchi yote...!!, usubiri network ya trunkroads walau 5 za kuunganisha mikoa yote katika kiwango cha lami, usubiri upimaji miji/ardhi wa Tanzania yote, usubiri kukamilika kwa fibre optic network Tanzania au hizo wireless network at least by 60%, usubiri coverage ya TVT na Radio kwa nchi nzima at least by 85%..... ndipo tuangalie uwezekano wa kila mmoja wetu kuwa na kitambulisho hicho.
SteveD.
mie nawashangaa hawa mawaziri,Kwanini wasigombanie miradi ya kuweka maji tanzania Nzima au hii haina 10%?
Na umeme pia mkuu!
Takwimu zinaonyesha kwamba 10% ya wabongo woe ndio wenye access na umeme, wengine wote 90% tunatumia vibatari, kuni, mkaa na samadi.
Naona wangeshindania hili pia, katika kutanya rural electrification!
Nawasilisha.
Idimi,
Mkuu Umeme sii EL walijaribu Richmond na kupata hapo kula? Au umesahau?
Hii ni njia nyingine ya 10% ktk ulaji tu! Hizi pesa zingeweza kufanya kazi kujenga na kukalilisha jarada la Malagarasi kule Kigoma!