Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

anaanzisha mchakato wiki ijayo wa kuongeza wanawake kwenye uwakilishi 50% kwa 50% huyu jamaa kachoka...

anamalizia blah blah then aende dar kuhudhulia harusi ya Ridhwan..
 
anaanzisha mchakato wiki ijayo wa kuongeza wanawake kwenye uwakilishi 50% kwa 50% huyu jamaa kachoka...

Nadhani ameona kwamba wanawake wanamuunga mkono kuliko midume, lakini huenda amekosea!
 
fedha/rushwa katika uchaguzi.. kuleta sheria kwenye bunge la januari....
 
Sheria ya matumizi ya fedha kwenye uchaguzi inakuja january 2009
 
Kikubwa anachofanya nikupitia hotuba yake ya kwanza na kujaribu kuonyesha amezitimiza. Kwa mwendo huu mpaka mwisho yote yamefanyiwa kazi na kamati zimeundwa.

Swali ni Je kwa kiasi gani yamefanikiwa hilo ndio swali hapa.
 
naenda kulala... don't tell me I lost my sleep for this..

You could have done this earlier coz this jamaa aint for Tanzania Development.Mie nimeaanza kusikia njaa..anaboa na nina uhakika hata wabunge wenyewe walishaanza kuboreka,


 
Hiki ndicho tulichokuwa tunakingoja? Vichwa karibu milioni 40, we all have been waiting for this?
 
sasa anatufundisha wananchi nini maana ya rushwa...hivi kweli hatujui..


Sasa anazungumzia uchumi.
 
Back
Top Bottom