Tanzania Nchi 1 ya JMT, Zanzibar Kujiita Nchi, Sio Uhaini?. Zanzibar Iadabishwe Kuondoa Ubatili wa Katiba Yake ili Tuitambue au Tumchelee Mwana Kulia?

Ili kuisoma hii makala yako pale mwananchi lazima ulipie kwanza. Lakini umeileta jf isomwe bure. Haitakuletea conflict na mwananchi?
Kwenye waandishi wa habari, kuna makundi matatu
  1. Kundi la kwanza media journalists, hawa ni waandishi waajiriwa wa media,wanabanwa na kanuni za ajira na wanapangiwa kazi。
  2. Kundi la pili ni correspondents na media freelances,hawa wanaandikia chombo kimoja,na wanalipwa na media husika hivyo wanafuata masherti
  3. Kundi la tatu ni the indepent freelance journalists, humo ndimo mimi nilimo, ni waandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea,hatupangiwi ,mimi naandikia magazeti 4, na vipindi vyangu narusha kwenye vituo 5 vya TV, sisi hatubanwi na kanuni zozote kwasababu tunaandika kwa kujitolea tuu for the love of it,and not for the gain from it。
P
 
Itakuwa upo vizuri sana Mkuu kimaokoto 😂😅👍🙏🙏
 
Pumbafffff. Eti Zanzibar iwe mkoa.
Sahau iyo kitu.
It will never happen.
 
Huu uhaini unafanywa na CCM kwani bila ya wao kuruhusu wala hali isingekuwa hivi, treason is a terribly serious offense.
 
Wewe kweli hamnazo
 
Bado unajua maxhache sana na zaid umeyatafta unayoyataka ww, yatafute na yale usiyoyapenda uone
 
Hahahaa unachekesha sana kiongoz, kama zanzibar iliwah kua nchi, mkaiteka kwa mwanvuli wa mungano, ko saiz ikidai kutoka ni KOSA KUBWA ??? we jamaa vp ww haujielew
 
Tukiwaambia wazanzibar siyo wenzetu muwe mnatuelewa hatuna nia mbaya wale wamekuja kuchuma mali za wajinga bara na kwenda kujenga Zanzibar yao.
 
Katika vitu ambavy nyerer alifanikiw sana katik maish yake ni pmoja na kuteka mlima kilimanjar, ziwa nyasa na kyela yote kuifany ni mali yake, akajarb kuichukua na zanzibar kujimilikisha ila bahat mbaya hakufanikiw kuichukua yote kafa kaiacha ikiw haieleweki,
 
Zanzibar ni nchi kamili na wana Jeshi lao kamili, lipo standby
 
Nimekuelewa Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…