Tanzania nchi kumi bora utajiri na uchumi Afrika

Tanzania nchi kumi bora utajiri na uchumi Afrika

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2021
Posts
587
Reaction score
800
Tanzania imetajwa moja ya nchi kumi bora zenye uchumi mzuri, utajiri na pato la Taifa ikiziacha nchi nyingi za Afrika.
1802375601.jpg
 
Tanzania imetajwa moja ya nchi kumi bora zenye uchumi mzuri, utajiri na pato la Taifa ikiziacha nchi nyingi za Afrika.
Tanzania ina eneo kubwa na watu wengi million 61 sio mchezo kwahiyo hili halinishangazi hata kidogo. Ila huduma za kijamii zilizopo haziendani na hiyo hadhi.
 
Kama ni hivyo basi hao wengine ni walala hoi zaidi.
 
Hata masikini wa masikini, wapo wenye uahueni lakini wote ni masikini
 
Tanzania ni nchi ya pili Africa kua natural resources baada ya Africa kusini ila ndo ya 10 kiutajiri si unaona ni ujinga kua na resources ila bado masikini.
Utajiri wa Congo na Tanzania hio South Africa inakuwaje ya kwanza
 
Utajiri wa Congo na Tanzania hio South Africa inakuwaje ya kwanza
South Africa iliendelezwa tangia muda na wakaburu na pia imetawaliwa muda mrefu na waingereza kwahiyo ilipewa headstart na hao watu.
 
Utajiri upi wa Congo na Tanzania Madini?
Shida inakuja pale kwenye kuconvert madini kuwa hela kwa manufaa ya nchi. Wachina hawana madini lakini ni nchi ya pili duniani kinachomatter ni kuwa na madini kichwani na sio ardhini. Babylon ilikuwa jangwa lakini ndo moja ya nchi tajiri zilizowahi kutokea.
 
Unareflect nn kwenye maisha yako ya kila siku huo uchumi? Zao la nchi karibu 80% linalambwa watu wasiozidi 1000 wa sisiemu we unasifia mijidata ya mtandaoni
 
Back
Top Bottom