logbes
Member
- Apr 17, 2011
- 88
- 20
inasadikika kuwa Tanzania ni nchi pekee baran Afrika yenye lugha moja inayounganisha watu wake wote na haijakopwa kokote. lakini nchi yenyewe haitaki kufaidika na hyo tunu inang'ang'ania lugha ya kigeni matokeo yake inakuwa lugha gongana kama wajenzi wa mnala wa Babel katika Elimu matokeo yake wanafunzi wanafeli mitihani ya Form four kwa asilimia tisisini. kuna mtu humu ndani alisema eti nchi yetu imeshindwa kuhamia kutoka kufundishia Kiswanglish kwenda kiswahili kamili kisa gharama za copyright kutafsiri vitabu vya kufundishia. Siamini hata kidogo. nijuze kama kuna nchi nyingine yenye Lugha yake.