Tanzania nchi pekee Afrika yenye Lugha yake inayoongelewa na watu wote lakini....

logbes

Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
88
Reaction score
20
inasadikika kuwa Tanzania ni nchi pekee baran Afrika yenye lugha moja inayounganisha watu wake wote na haijakopwa kokote. lakini nchi yenyewe haitaki kufaidika na hyo tunu inang'ang'ania lugha ya kigeni matokeo yake inakuwa lugha gongana kama wajenzi wa mnala wa Babel katika Elimu matokeo yake wanafunzi wanafeli mitihani ya Form four kwa asilimia tisisini. kuna mtu humu ndani alisema eti nchi yetu imeshindwa kuhamia kutoka kufundishia Kiswanglish kwenda kiswahili kamili kisa gharama za copyright kutafsiri vitabu vya kufundishia. Siamini hata kidogo. nijuze kama kuna nchi nyingine yenye Lugha yake.
 
yaaah kiswanglish ndo tatizo. ukiangalia shule zote ambazo watoto wamefaulu lazima watoto walisoma English Medium
 
inasadikika kuwa Tanzania ni nchi pekee baran Afrika yenye lugha moja inayounganisha watu wake wote na haijakopwa kokote. lakini nchi yenyewe haitaki kufaidika na hyo tunu inang'ang'ania lugha ya kigeni matokeo yake inakuwa lugha gongana kama wajenzi wa mnala wa Babel katika Elimu matokeo yake wanafunzi wanafeli mitihani ya Form four kwa asilimia tisisini. kuna mtu humu ndani alisema eti nchi yetu imeshindwa kuhamia kutoka kufundishia Kiswanglish kwenda kiswahili kamili kisa gharama za copyright kutafsiri vitabu vya kufundishia. Siamini hata kidogo. nijuze kama kuna nchi nyingine yenye Lugha yake.

Hapana mkuu hii lugha tumekopa sana kutoka kiarabu na baadhi ya lugha za kibantu!
 
kukopa ninakomaanisha ni kama kiingereza, kireno,kijeruman nk. lugha zote dunian hutegemeana misamiati.
 
Mbona miaka ya nyuma lugha ilikuwa ni hiyo lakini walikuwa wanafaulu vizuri?
 
Back
Top Bottom