Tanzania nchi salama kwa uwekezaji

Tanzania nchi salama kwa uwekezaji

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Kutokana na uwepo wa mazingira salama nchini yaliyotengenezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, uwekezaji nchini umeongeza na hili linathibitika kwa idadi ya miradi iliyosainiwa kuanzia mwezi Julai 2022- Machi 2023.

Miradi iliyosainiwa mwezi Julai 2022- Machi 2023
  • Sekta ya Uzalishaji viwandani miradi 104
  • Sekta ya Usafirishaji miradi 56
  • Sekta ya Kilimo miradi 18
  • Sekta ya ujenzi wa majengo ya biashara miradi 22
  • Sekta ya Utalii miradi 21
  • Sekta ya Huduma miradi 13
  • Sekta ya Miundombinu miradi 3
  • Rasilimali watu miradi 3
Sehemu kubwa ya miradi hiyo iliyosainiwa inatarajiwa kuwekezwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Mwanza, Arusha na Dodoma.

Aidha, uwepo wa miradi hiyo nchini itafanikisha kuwepo kwa huduma ya umeme, huduma za afya, ujenzi wa barabara, bandari, viwanja vya ndege na uwepo wa masoko kwenye maeneo ambayo miradi itakuwepo na hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi. #mamaanafanikisha
 
Back
Top Bottom