Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Sasa ulishasikia shida ya maji Dar au Zanzibar? Ninyi huko shida ya maji mpaka Nairobi na Mombasa miji mikubwa inashida ya maji c bora huku vijijini hukoHalafu kama kuna mnyama nachukia ni fisi, lipumbavu sana lile, yaani huanza kukutafuna ukiwa hai bora hata simba anayekuua kwanza.
Jameni Tanzania inaitia aibu Afrika, huu umaskini wao utapungua lini kwa kweli.....wana madini na kila kitu, vyote vinachukuliwa na mabeberu kizembe tu, jamaa wameshindwa ujanja kwenye kila nama, wazembe sana hawa.
Kama Nairobi hakuna maji it is easy for me to conclude that the entire Kenya is thirsty, Dar habari ya Maji tulishaisahau, Na mikoani ndio rahisi kabisa,
We are now upgrading the database and the system with installation of prepaid services to all users, Kwetu Iringa ndio Pilot now the whole Tz will go for prepaid water services just Like Electricity,
Kenyans hadi leo mko na Leseni za Vitabu, very outdated
Sent using Jamii Forums mobile app
Cjaoa badoKwn wewe umeshaolewa tayari?
[emoji23][emoji23] Njama mkuje kuona Uzi wa komora huku [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Ingelikua kenya hapo jamaa wangelipiga kelele hapa, ona sasa mnavyoumbuka kw kujisifia ujinga..
RIP[emoji24]