Tanzania nchi ya asali na maziwa

Tanzania nchi ya asali na maziwa

Halafu kama kuna mnyama nachukia ni fisi, lipumbavu sana lile, yaani huanza kukutafuna ukiwa hai bora hata simba anayekuua kwanza.
Jameni Tanzania inaitia aibu Afrika, huu umaskini wao utapungua lini kwa kweli.....wana madini na kila kitu, vyote vinachukuliwa na mabeberu kizembe tu, jamaa wameshindwa ujanja kwenye kila nama, wazembe sana hawa.
Sasa ulishasikia shida ya maji Dar au Zanzibar? Ninyi huko shida ya maji mpaka Nairobi na Mombasa miji mikubwa inashida ya maji c bora huku vijijini huko
 
Try again. In EAC in that sector of tap connectivity hakuna mpinzani, nyie ndio mnaamuka unadhani sasa wengine wamekua kama nyinyi[emoji23][emoji23][emoji23]. We progressed long ago since my childhood, sahi ni additions tu[emoji23][emoji23] kweli mmekua kwa msitu muda mrefu karne hii.,
Kama Nairobi hakuna maji it is easy for me to conclude that the entire Kenya is thirsty, Dar habari ya Maji tulishaisahau, Na mikoani ndio rahisi kabisa,
We are now upgrading the database and the system with installation of prepaid services to all users, Kwetu Iringa ndio Pilot now the whole Tz will go for prepaid water services just Like Electricity,
Kenyans hadi leo mko na Leseni za Vitabu, very outdated

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza. Hivi kushambuliwa na wanyama porini karibu na mbuga ni hajabu?
 
Back
Top Bottom