Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KkkkkkkkkUtanzania wake uko wapi hapo
Kweli Tanzania nchi ya ajabu, sasa CCM imeingiaje hapa.Asante Sana CCM kwa kutuonyesha Watanzania wanaocheza mpira Nje ya nchi! Ipo kwenye ilani ya uchaguzi
huyo kazaliwa sio kujilipua...kila Mara anakuja Bongo especially Tanga anampenda sana bibi yake mzaa baba..mbona magazeti yalimuhoji alivyotua bongoSasa mtu anacheza timu ya taifa ya Denmark ila bado unasema ni mtanzania wakati.mwenzio alishajilipua uraia.
Usikute hata bongo mavumbini hapajui
Endelea kubishaNabisha
You are right and i was wrong mkuu, ni kweli kutokana na taratibu za nchi yetu the guy anasifa za kuwa mtanzania na ni mtanzania the rest ni siasa za kwenye makaratasi as you said mkuu.Sijasoma Civics mimi sisi tulikuwa na soma linaitwa Siasa.......Huyo ni Mtanzania halisi udenimark wake ni kwenye taratibu za kwenye makaratasi
Mdanish mwenye asili ya kizigua!Mtanzania mwenye asili ya Denmark au Mdanish mwenye asili ya Tanzania?
Huyo dogo ni Mtanzania kwa asili na kamwe haitabadilika....hayo mengine na mautaratibu tu ya kwenye karatasi....huo ndo msingi wa mada yanguObama ni Mmarekani Mwenye asili ya Africa kutoka nchi ya Kenya Lakini si mkenya same applied to Yusof Manji ni mtanzania mwenye asili ya Asia. Walance Karia ni mtanzania mwenye asili ya Somali. Ili uwe mtanzania lazima uwe na urai wa nchi moja. Yusuf Poulsen Angekuwa mtanzania asingecheza Timu ya taifa lingine Tanzania bado hatujawa na huo uraia wa nchi mbili. He is not totally TANZANIAN
Kally ni mwingerezaAtakuwa na uraia wa nchi mbili labda.
Kwa Denmark hiyo inawezekana
Kali Ongala baba yake mtanzania mama yake MZUNGU mwingereza. alikuwa na uraia wa Tanzania na England alishindwa kucheza timu ya taifa kwa sababu sheria haikuruhusu uraia wa nchi mbili
Sane na mane ni Senegal , Rinaldo ureno , pogba ni GuineaMac tominey anaasiri ya England anachez Scotland sane anaaasiri ya ghana anacheza German RONALDO anaasili ya Brazil anacheza ureno pogba anaasiri ya Senegal lakini anacheza France sioni cha ajabu hapo na hiyo sio mtanzania pekee wanaokipiga ulaya wapo hata wakina ditti wapo huko Norway