Mbaga Lazaro
Senior Member
- Aug 9, 2020
- 132
- 108
Labda anazungumzia coaxialData hii ya minara ya simu au fiber
Jamaa kapewa maelezo sioAirtel zambia 2 gb 20 kwacha. Kwacha 20 ni sawa na dola 1.06. Kwa hiyo gb 1 = usd 0.50.
Zamtel 5gb =k 20 . Haya mtoa mada piga hesabu. Itakua kakosea hesabu
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
MimiHivi ni nani hasa anaetengeneza na kuuza hizi data yaani MB & GB kwa makampuni ya simu🤔
Tujitahidi ili tuwafikie hao wenye bei kubwa.watu wakishaashiba kodi zetu huwa hawana aibu kabisa"Bado nchi yetu ndio ina bei rahisi ya Data kwa GB kuliko nchi yoyote ya East Africa...SADC, kwa kuwa na gharama ya GB 0.71 kwa Dola ambayo ni sawasawa na shilingi 1600/=". Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania - Dkt.Jabiri Kuwe Bakari
#ITVUpdates
Nape kamtuma aje kutoa uharoJamaa kapewa maelezo sio
[emoji3578]
Izidi kushuka, kuna ubaya?"Bado nchi yetu ndio ina bei rahisi ya Data kwa GB kuliko nchi yoyote ya East Africa...SADC, kwa kuwa na gharama ya GB 0.71 kwa Dola ambayo ni sawasawa na shilingi 1600/=". Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania - Dkt.Jabiri Kuwe Bakari
#ITVUpdates
Ambayo ni sababu isiyo na mashiko.Kwakuwa nchi zingine wanapandisha bei basi na huku wanapandisha ..
Sababu ni kuwa eti nchi zingine ni bei juu