[emoji23][emoji23][emoji23]Dr wa chemistry anatumbua majipu
nchi pekee yenye watu wasiojulikana [emoji16][emoji16][emoji16]Tanzania ndio nchi pekee ambayo jangwani kuna mafuriko.
Tanzania ndio nchi pekee ambayo risasi inapigwa juu inaua chini.
Tanzania ndio nchi pekee ambayo...
Endelea
Kutongoza hovyo kwenyewe pia njaa. Inaua na kufilisi haraka kuliko njaa ya chakula.Ukitongoza tu demu kwenye mtandao demu anapata njaa Kali ya ghafla