Tanzania ndio nchi pekee ambayo...

Tanzania ndio nchi pekee ambayo...

Peculiar

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
821
Reaction score
689
Tanzania ndio nchi pekee ambayo jangwani kuna mafuriko.

Tanzania ndio nchi pekee ambayo risasi inapigwa juu inaua chini.

Tanzania ndio nchi pekee ambayo...

Endelea
 
pekee ambayo unamtongoza demu hapohapo anahisi njaa.....

pekee ambayo unakutana na mtu anatembeza vitabu kwenye jua kali vilivyoandikwa "namna ya kuwa bilionea ndani ya mwaka mmoja...

pekee ambayo kama hujaweka passord kwenye simu yako unawekwa magereza.....

pekee ambayo majambazi wakiiba mchana kweupe hawaonekani lakini ukiingiza demu geto kwako saa nane au saa tisa usiku unaonekana vyema.

Tanzania ni nchi pekee ambayo.............
 
Back
Top Bottom