Kutongoza hovyo kwenyewe pia njaa. Inaua na kufilisi haraka kuliko njaa ya chakula.
Mange Kimavi amelala US anacontrol kwa remote wengine waandamane .Tanzania ndio nchi pekee ambayo jangwani kuna mafuriko.
Tanzania ndio nchi pekee ambayo risasi inapigwa juu inaua chini.
Tanzania ndio nchi pekee ambayo...
Endelea
pekee ambayo unamtongoza demu hapohapo anahisi njaa.....
pekee ambayo unakutana na mtu anatembeza vitabu kwenye jua kali vilivyoandikwa "namna ya kuwa bilionea ndani ya mwaka mmoja...
pekee ambayo kama hujaweka passord kwenye simu yako unawekwa magereza.....
pekee ambayo majambazi wakiiba mchana kweupe hawaonekani lakini ukiingiza demu geto kwako saa nane au saa tisa usiku unaonekana vyema.
Tanzania ni nchi pekee ambayo.............
Mkuu sijakuelewaTanzania ndio nchi pekee ambayo jangwani kuna mafuriko.
Tanzania ndio nchi pekee ambayo risasi inapigwa juu inaua chini.
Tanzania ndio nchi pekee ambayo...
Endelea
Hii Kali sanapekee ambayo unakutana na mtu anatembeza vitabu kwenye jua kali vilivyoandikwa "namna ya kuwa bilionea ndani ya mwaka mmoja.
Mchungaji anayembatiza bwana yule huwa anatoa majina mazuri sana tena yenye expiry date-Sizo*** imeexpire saivi ni StoneJiwe linaongoza nchi
pekee ambayo unamtongoza demu hapohapo anahisi njaa.....
pekee ambayo unakutana na mtu anatembeza vitabu kwenye jua kali vilivyoandikwa "namna ya kuwa bilionea ndani ya mwaka mmoja...
pekee ambayo kama hujaweka passord kwenye simu yako unawekwa magereza.....
pekee ambayo majambazi wakiiba mchana kweupe hawaonekani lakini ukiingiza demu geto kwako saa nane au saa tisa usiku unaonekana vyema.
Tanzania ni nchi pekee ambayo.............
Kuna wajinga kama weweTanzania ndio nchi pekee ambayo jangwani kuna mafuriko.