Tanzania ndio nchi pekee ambayo...

Tanzania ndio nchi pekee ambayo...

pekee ambayo unamtongoza demu hapohapo anahisi njaa.....

pekee ambayo unakutana na mtu anatembeza vitabu kwenye jua kali vilivyoandikwa "namna ya kuwa bilionea ndani ya mwaka mmoja...

pekee ambayo kama hujaweka passord kwenye simu yako unawekwa magereza.....

pekee ambayo majambazi wakiiba mchana kweupe hawaonekani lakini ukiingiza demu geto kwako saa nane au saa tisa usiku unaonekana vyema.

Tanzania ni nchi pekee ambayo.............

hahahahahahaahahahaahaaha, JF raha sana
 
FB_IMG_15142029063042481.jpg
 
pekee ambayo unamtongoza demu hapohapo anahisi njaa.....

pekee ambayo unakutana na mtu anatembeza vitabu kwenye jua kali vilivyoandikwa "namna ya kuwa bilionea ndani ya mwaka mmoja...

pekee ambayo kama hujaweka passord kwenye simu yako unawekwa magereza.....

pekee ambayo majambazi wakiiba mchana kweupe hawaonekani lakini ukiingiza demu geto kwako saa nane au saa tisa usiku unaonekana vyema.

Tanzania ni nchi pekee ambayo.............

Hahahaha teh teh teh
 
BONGO NDO NCHI PEKEE AMBAO WAKAZ WAKE WAKIONA MVUA INANYESHA UPANDA MAHINDI,MAHARAGE NA HATA MBEGU ZA KIUME KWA MWANAMKE

BONGO N NCH PEKEE WANANCH WAKE BADO WANAITENEDEA HAKI "KIFO CHA MENDE".
 
Back
Top Bottom