That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Nchi pekee ambapo boyfriend anamajukumu mengi kuliko baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha lolNchi pekee ambapo boyfriend anamajukumu mengi kuliko baba
[emoji16] [emoji16] [emoji16] aiseeeeeeeee.pekee ambayo unamtongoza demu hapohapo anahisi njaa.....
pekee ambayo unakutana na mtu anatembeza vitabu kwenye jua kali vilivyoandikwa "namna ya kuwa bilionea ndani ya mwaka mmoja...
pekee ambayo kama hujaweka passord kwenye simu yako unawekwa magereza.....
pekee ambayo majambazi wakiiba mchana kweupe hawaonekani lakini ukiingiza demu geto kwako saa nane au saa tisa usiku unaonekana vyema.
Tanzania ni nchi pekee ambayo.............
Jamaa kaniachaa hoi sn.[emoji16] [emoji16] [emoji16]Hahahaha teh teh teh