Tanzania ndio nchi pekee duniani note moja yenye sahihi 3 zinawezakutumika pamoja

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Nilienda bank leo kutoa pesa maana Mambo sio Mambo tunaweza kosa pesa za kutumia kwa sababu ya upumbavu wa wajinga

Sasa nimekutana na note 3 zenye sahihi tofauti kwenye bank hii kupitia ATM nikajiuliza

Hivi wanasiasa hii nchi wameharibu kiasi hiki inawezekanaje note moja inaweza kuwa na note 3 tofauti zinazotumika kwa wakati mmoja zenye sahihi tofauti?
 
View attachment 3507981
Wewe taahira zero brain unajua dola ya marekani hadi ya mwaka gani bado ipo kwa mzunguko?
 
Back
Top Bottom