Tanzania ndio nchi pekee isiyo na video ya wimbo wa taifa.

Tanzania ndio nchi pekee isiyo na video ya wimbo wa taifa.

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,538
Salaam jf.

Kuna jamaa mmoja et! kaniambia kuwa nchi zote duniani nyimbo zao za taifa zina videos, sasa kasema kasoro TZ peke yake. Hii ni kweli au fix?
 
Back
Top Bottom