Tanzania ndio nchi pekee UKWELI unaonekana ni tusi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kwetu tanzania ukimtukana mtu tusi yanaweza kuisha mkaombana misamaa ya 4R.

Ila jambo linakuja ni lile la kuelewa ukweli kama umetoa rasmi tusi pro max.

Ili nimeliona hata hapa JF wakebei kupitia CCM wanapoelezwa ukweli wanavyo anza kureact ukweli kuliko matusi yetu haya sehemu za siri.
 
true!
tutafika tumechoka sana kwa kutekwa na kuumizwa au kuuliwa kabisa
 
Kwetu tanzania ukimtukana mtu tusi yanaweza kuisha mkaombana misamaa ya 4R.

Ila jambo linakuja ni lile la kuelewa ukweli kama umetoa rasmi tusi pro max.

Ili nimeliona hata hapa JF wakebei kupitia CCM wanapoelezwa ukweli wanavyo anza kureact ukweli kuliko matusi yetu haya sehemu za siri.
Mpaka wanakwambia usijifiche kwenye ID fake tutakutafuta😀😀😀
 
Back
Top Bottom