true!Kwetu tanzania ukimtukana mtu tusi yanaweza kuisha mkaombana misamaa ya 4R.
Ila jambo linakuja ni lile la kuelewa ukweli kama umetoa rasmi tusi pro max.
Ili nimeliona hata hapa JF wakebei kupitia CCM wanapoelezwa ukweli wanavyo anza kureact ukweli kuliko matusi yetu haya sehemu za siri.
Hata leo ukiandika ukweli humu inabidi ulale nyuma ya kichaka hapo nyumbani na ufumbe jicho mmja wasemq ukweli wanasakwa nchi hiiUkiwa mkweli unaonekana ni mhaini na si mzalendo
Hii ni hatari Kwa mustakabali wa taifaHata leo ukiandika ukweli humu inabidi ulale nyuma ya kichaka hapo nyumbani na ufumbe jicho mmja wasemq ukweli wanasakwa nchi hii
Mpaka wanakwambia usijifiche kwenye ID fake tutakutafuta😀😀😀Kwetu tanzania ukimtukana mtu tusi yanaweza kuisha mkaombana misamaa ya 4R.