Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Sijui wanaelewaa neno ugaidi na hatari za kisiasa.
Leo nilitaka kueleza maana input politics na out politics achana na diplomatic.
Kwa mambo yanayofanywa ndani ya siasa za CCM zinaweza kuifanya out politics kuwa tuna vilaza kuanzia sheria,wataalamu wa serikali idara zote.
Kuna jambo wanaliogopa na wanaonga pesa hata kuuza lolote ili waseme nchi ni Soviet kama alivyosema yule marehemu mtarajiwa wasira.