Tanzania ndio ya mkia ukanda huu kwenye kufadhili kilimo

Hivo vitu sawa ni muhimu lkn,wanufaika wake hawazidi asimilia 10%,pia uchukua si chini ya miaka 30 ndo irudi gharama za hio miradi ili uanze kupata faida,watu wanataka basic need,watakula hivo vyuma? Ethiopia wanavo hivo tayari lkn vimeleta tija gani kwa wa chini,Maana ndo wanaongoza kuikimbia nchi yao,sababu chote kipatikanacho tokana na miradi uenda nje kulipia mikopo yenye riba, shida nyie wavaa vitenge nyie ni kusifu na kuabudu tu,
Ulitaka uwekewe pesa mfukoni na serikali? Nenda katafute hiyo nchi ya aina hiyo uhamie huko

Huku Tanzania kazi ya serikali ni kuboresha miundombinu yote wezeshi ya kurahisisha shughuli za kiuchumi kama wewe wataka serikali ya kupikia wananchi wake mapilau na mikuku na kuwawekea midomoni hilo sahau kabisa na hata hivyo ulikosea sana kuwaza hivyo

Hata serikali ikukujengea hospitals za kisasa mpaka chooni jua kwamba haitakupa huduma ya bure sababu dawa utalipia na matibabu utalipia vile vile so kafanye kazi ulalamike barabara mbovu huwezi kusafirisha mali yako hapo utaeleweka
 
Dira ya Taifa ipo na dira yenyewe ni maendeleo tu ambayo ndio yanayotekelezwa awamu hii mambo yote hayo niliyoyasema ni maendeleo na ndio dira yenyewe ya Taifa.
Unajua unaongea nin ama mladi ubishi tu?
 
Ulitaka uwekewe pesa mfukoni na serikali? Nenda katafute hiyo nchi ya aina hiyo uhamie huko

Huku Tanzania kazi ya serikali ni kuboresha miundombinu yote wezeshi ya kurahisisha shughuli za kiuchumi kama wewe wataka serikali ya kupikia wananchi wake mapilau na mikuku na kuwawekea midomoni hilo sahau kabisa na hata hivyo ulikosea sana kuwaza hivyo

Hata serikali ikukujengea hospitals za kisasa mpaka chooni jua kwamba haitakupa huduma ya bure sababu dawa utalipia na matibabu utalipia vile vile so kafanye kazi ulalamike barabara mbovu huwezi kusafirisha mali yako hapo utaeleweka
Waboreshe mazingira ya watu kujituma,hakuna asiyependa maendeleo akiboreshewa mazingira,
 
Ndio hivyo Boeing, stirgliers, pipeline, SGR, barabara, airports, industries, bandari, bus stands, BRT, etc vinajengwa ili vikupe moyo ujitume sababu means of production zipo simplified
 
Back
Top Bottom