wabara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,500
- 706
"...na si kuleta kukariri kwako"--kutokana na kipande hicho hustahili hata kupewa "faida"!
Mleta uzi kajitahidi sana kuleta kile anachokiamini na kazi yetu sisi ilikuwa kumkatalia kwa maandiko na si porojo zako za kwenye Mbege,
Huna dalili kaa kimya kama unakiherehere sana yape macho yako haki ya kusoma na kupita na usiipe mikono/vidole vyako uhuru usio kuwa na nidhamu matokeo yake ukaonekana kama hivi sasa unajaza UHARO wako hapa.
Kopo la ngapi hilo hapo mkononi mwako..?
Uishazoea kushinda na kiti moto+mbege+maneno ya mbege= AKILI ZA KUSHIKIWA.