"...na si kuleta kukariri kwako"--kutokana na kipande hicho hustahili hata kupewa "faida"!
huyo kakosea kwanzia elimu aliyochukua mpaka research alizofanya sasa sijui tuanze wapi!
ndug wana jf mimi kama mtanzania kwa elimu niliyoipata na uchunguzi wangu wa kina nimegundua yafuatayo kuhusu vita ya tanzania na uganda na ningependa wale wasiojua wayafahamu haya;-
mara baada ya rais obote kupinduliwa alikimbilia tanzania ili apate hifadhi kutokana na urafiki mkubwa kati ya nyerere na obote. Mara baada ya kupata hifadhi hapa tanzania inasemekana kuwa mwl hakumpenda idd amini na kuamua kumsaidia obote kurudi kwenye kiti chake.
Baada ya idd amini kuona vile akatangaza mgogoro na nchi yetu kwa kuwa tulikuwa tunataka kumpindua naye akaamua kujihami kwa kutoleana maneno makali na mwl. Hiyo ndiyo ikawa mwanzo wa vita ya tanzania na uganda.
Lakini ikumbukwe pia baada ya vita kuanza kuna wanajeshi wa uganda walimchukia idd amini na wakaamua kuiasi serikali na kusaidiana na majeshi ya tanzania ili kumuondoa idd amini. Kitendo cha kuasi kwa wanajeshi wa uganda kulisaidia tanzania kumpiga idd amini kwa urahisi la sivyo ingechukua muda mrefu kumuondoa idd amini. Ikumbukwe kuwa wananchi wa uganda hawakufurahishwa na utawala wa idd amini na ndiyo maana uasi ukatokea.
Pia ikumbukwe kuwa vita hiyo isingeweza kutokea kama mwl asingetaka kumsaidia obote. Ikumbukwe kuwa idd amini alimpindua obote mwaka 1972 hivi na yeye akaondolewa 1979. Nasikitika kwa kuwa historia ya vita hii inapindishwa sana na kuonekana kuwa eti idd amini alitaka kuchukua ardhi yetu. Wakati chanzo ni sisi watanzania wenyewe.
Tafadhali sikusema haya kwa kuwa namchukia mwl ila naeleza kile ninachokifahamu.
R.i.p mwl. Nyerere
Kwanini usiende kumuondoa Kagame!
itakuwa na wewe umesoma chuo kimoja na huyu jamaa! ni chuo gani?Anzia kwa nini mtu akitoa mawazo yako akiwa nje ya chadema hata kama ni mazuri na yana maslahi anaonekana hafai na hayohayo mawazo akiyatoa akiwa ndani ya chadema anaonekana kafanya jambo zuri sana na akiyoafautiana na mtizamo wa chama hapo hapo anaonekana tena hafai/msaliti?
Mfano huyu swaibaako hapa
Au unashusha na hii kitu huku ukitapika humu?
View attachment 123996
itakuwa na wewe umesoma chuo kimoja na huyu jamaa! ni chuo gani?
[JFMP3][/JFMP3]unamaneno mengi kwani we ni mwalimu?Hivi anaitwa nani vile na yupo chama gani?
Chuo alichosoma itabidi tuwaulize wanachama wenzake ambao akili zao kama zake maana level zao zinafanana na wewe pia tupe msaada maana nadhani ni katika huyo, usitupe tabu juu ya hilo jambo dogo.
Wewe kwa kumuonesha kakosea, unatakiwa umuelekeze ukweli ni upi ili kama anakosea ajue wapi anaksea na si kuleta kukariri kwako,
Haya funguka sasa japo page moja tu ili nasi tupate faida kwa niaba yake
[JFMP3][/JFMP3]unamaneno mengi kwani we ni mwalimu?
Na hili ndio tatizo lililofanya hili jukwaa kukosa mashiko kwa sababu ya washabiki wachache wana kuja wanajifanya wanajua kukosoa bila kusahihisha mambo! Ye badala ya kuelezea anachojua, anaishia kumdhalilisha mtoa mada. Wapo wengi sana humu na kila siku wanazidi kukera
naomba home work mwalimuUnasumbuliwa na tatizo gani ili nikushughulikie?
naomba home work mwalimu
Mkuu wabaraMwanawafunzi wangu hiyo home work itakuchukua muda gani au bado wauliza kwenye mbege?
Kama umeuingia mwitu bila kujua nami nakukurupua humu kama nguchiro hadi upoteze uelekeo ili siku nyengie usiparamieparamie,
Haya njoo tena nikurahisishie, sikupi mkasi ila ntakukata na ndipo nikubrashi,