Wale tuliozaliwa miaka ya 70 tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo kwamba " Akili ya Profesa (PhD) inauwezo wa kuona jambo na kulichakata kwa miaka 45 ijayo"
Nimekua na hiyo Imani hadi miaka ya elfu 2000 ndipo nilipokuja kugundua kwamba kwa Tanzania hiyo kitu haipo!
Nilianza kupata wasiwasi huo pale nilipokuwa naona miradi mikubwa ikijengwa na kubomolewa miezi kadhaa baada ya ujenzi!
Niliona barabara zikijengwa kwa gharama kubwa na kisha kubomolewa tena na kujengwa tena!
Niliona madaraja yakijengwa na kubomolewa punde baada ya ujenzi
Hii ilinipa wasiwasi kwamba kama inchi ina wasomi na wataalam ma profesa waliokaa kikao na kupitisha hoja na bajeti ya jambo moja! Kwenye kikao chenye posho ndefu!
Kwanini watu haohao tena hubomoa mradi uleule walioupitisha miezi kadhaa nyuma?
Hapa ndipo nilipokuja kugundua kwanini Bei za bidhaa Tanzania hupanda ghafla ilihali kushushwa ni ngumu sana!
Mfano!
1. Mafuta (petrol & diesel) yakipandishwa mda huu Basi ndani ya dakika chache Inchi nzima yatapanda! Lakini yakishuka bei INAHITAJI TASK FORCE polisi wapite kukamata kamata kulazimisha bei ishuke
2. Bidhaa za ujenzi mfano! Dangote alipofungua kiwanda alikusudia kuuza cement mfuko elfu 8000/= lakini Sera ya inch ya maprofesa ilimbadilisha!
3. Bidhaa ya umeme yenye maprofesa kuanzia bodi, ewura ilifanya Vikao na michakato ya kupunguza umeme kwa mda mrefu kuanzia 2016 na kupitisha bei 27000/= Halafu baada ya miezi 6 hata mwaka haujaisha, Bodi ya wasomi walewale inapangua maamuzi yake yenyewe ghafla! Tena ndani ya (SIKU MOJA) bei inapanda!
Nondo,Unga, mafuta, sukari n.k mambo ni yaleyale!
Halafu mtu utamsikia akisema Rushwa ni adui wa Haki!
Ebu tujiulize ni nani anaweza kidhi hayo mahitaji yenye bei kwa mshahara wake mwenyewe?