chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
kuna nchi japo na ufinyu wao wa rasilimali kama ardhi ila wanatumia walicho nacho kwa akili zao wote. Nchi ya norway kuna season inakumbwa na giza saa 24 yani hujui usiku wala mchana na muda mwingine jua linawaka usiku sio mchana.
Baridi ni kali sana ila wanajitahidi nchi yao kufika mbali. Ingekuwa ndio Tanzania ipo Norway ingekuwaje?
Baridi ni kali sana ila wanajitahidi nchi yao kufika mbali. Ingekuwa ndio Tanzania ipo Norway ingekuwaje?