Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Iceland kwenye vibwengo😀Hiyo hali ya winter, usiku yaani giza kuchukua sehemu kubwa au yote ya 24 hrs. Haiathiri chochote katika shughuli za ki binadamu, kwani kazini mnaenda kama kawaida kama unafanya kazi masaa 8 ni hayo hayo. Let say umeingia kazini saa 2 asubuhi wakati ni giza na unatoka 10 jioni giza likiwa palepale. Kinachofuatwa ni saa yako ya mkononi au simu si mwanga wa jua. Jamaa a naona ajabu ya Norway je angeeda Iceland angesemaje?