Tanzania ndiyo ingekuwa Norway tungekufa tunajiona

Iceland kwenye vibwengo😀
 
Sio kwamba mazingira ndio yame shape akili zetu?
Naam mazingira yanachangia.
Hata pata Tanzania linganisha raia wa pwani Tanga to Mtwana, sehemu kame kama Dom, Singida, Tabora, Shinyanga.
Na mikoa ya baridi nyada za juu kusini, kasikazini na Kagera.
Ukituliza akili utajifunza kitu
 
Hapo umeniacha mkuu, mi nadhani hiyo mikoa ya ukanda wa pwani tofauti zake na mikoa ya bara ni kutokana na utamaduni uliosababishwa na Imani za kidini
 
Hapo umeniacha mkuu, mi nadhani hiyo mikoa ya ukanda wa pwani tofauti zake na mikoa ya bara ni kutokana na utamaduni uliosababishwa na Imani za kidini
Sio tu utamaduni bali pwani yote ni wavivu, akili ndogo sana na maendeleo duni....linganisha na mikoa ya baridi then nipe jibu
 
Norway ina ufinyu wa rasilimali? Norway ni moja kati ya nchi yenye gas reserve kubwa Duniani, hakuna nchi yq Kiafrika inayoifikia Norway kwa utajiri wa rasilimali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…