Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo Mkurugenzi NEC na timu yake ya kusimamia uchaguzi mkuu inateuliwa na anayegombea uchaguzi huohuo

View attachment 3235364
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuita uchaguzi wa aina hii ni wa 'HURU NA HAKI'. Dunia nzima inaishangaa Tanzania, mbaya zaidi ni pale inapojinasibu huko duniani kote kwamba ni nchi ya kidemokrasia! Hii ni AIBU kubwa sana! Nahisi dunia nzima inashangaa na kuhoji kama watanzania ni watu wenye akili timamu au vinginevyo ni watu wenye IQ ndogo sana au kuna pahala akili za watanzania hazipo sawa.

Hii ni sawa na kusema mchezo wa mpira wa miguu kati ya Lesotho na Tanzania alafu kuanzia mashabiki, uwanja, refa, linesmen, match commissioner nk. Vinawekwa na kusimamiwa na Tanzania then utarajie Lesotho ishinde! Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kusema huo ni ushindani wa haki.

CCM imenufauka mno kwa miaka mingi kutokana na mfumo huu mbovu. Mbaya zaidi imetumia mfumo huu mbovu kujijenga na kujinufaisha mno kulinganisha na vyama vingine vya upinzani. Ni sawa na timu ambayo imeshinda makombe na fedha nyingi kwa njia hizo zisizo za kihalali kisha kwa miaka mingi hiyo ikatumia fedha hizo hizo kujipa nguvu zaidi kuendelea kutawala kwa njia zisizo halali.

Dunia inashangaa, Je, ni kwamba watanzania hawaoni jambo hili? Wamerogwa? Au ukosefu wa elimu? Umasikini?

Uchaguzi si kwa ajili ya ubunge na madiwani tu, ambapo kwa miaka mingi CCM imetumia njia ya kukubali ushindi kwa baadhi ya majimbo kwa vyama vya upinzàni ili kuuhadaa umma juu ya mfumo huu wa uchaguzi ambao si wa haki na huru, Na kwa bahati mbaya vyama vya upinzani vikishapata viti kadhaa bungeni vinasahau kwamba CCM kamwe hawawezi na hawako tayari kuachia serikali kuu kwa chama cha upinzani!
Je, Huu ndiyo uchaguzi huru na wa haki? HAPANA, huu si uchaguzi wa huru na haki.

MUNGU IBARIKA AFRIKA, MUNGU IBARIKA TANZANIA.
Eti kwa sababu mwenyekiti wao huwa jaji basi uchaguzi unakuwa huru.
 
Nchi ya kipuuzi sana hii!
 
Nchi zingine wanapatikanaje?
The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) of Kenya is composed of a Chairperson and six other members, all appointed through a structured process designed to ensure independence, integrity, and regional balance.

Appointment Process:

1. Formation of a Selection Panel:

At least six months before a commissioner's term expires or within 14 days of a declared vacancy, the President appoints a seven-member selection panel comprising:

Two men and two women nominated by the Parliamentary Service Commission.

One person nominated by the Law Society of Kenya.

Two persons nominated by the Inter-religious Council of Kenya.

2. Candidate Selection:

The selection panel invites applications from qualified individuals, publishes the applicants' names and qualifications, and conducts public interviews.

Following the interviews, the panel forwards a shortlist to the President:

Two candidates for the Chairperson position.

Nine candidates for the six commissioner positions.

3. Nomination and Approval:

The President nominates one individual for Chairperson and six for commissioners from the shortlist and submits these names to the National Assembly for approval.

4. Appointment:

Upon approval by the National Assembly, the President officially appoints the Chairperson and commissioners through a notice in the Gazette.

Qualifications:

Chairperson: Must be qualified to hold the office of a judge of the Supreme Court.

Commissioners: Must hold a degree from a recognized university and have proven relevant experience in fields such as electoral matters, management, finance, governance, or public administration.

Term of Office:

Each member serves a single, non-renewable term of six years and operates on a full-time basis.

This appointment process is designed to uphold the IEBC's independence and ensure that its members are selected based on merit, integrity, and a commitment to fair electoral practices.
 
President bado ana teuwa/anapendekeza majina ya watu, sasa kunatofauti gani na hapa? hata kama anateuwa watu 100 waka fuata mchucho bado wanapendekezwa na rais.
 
je ni sahihi kisa kenya amefanya hivyo ? napata wasi wasi kama kwel waafrik mmefikia hatua ya homo sapiens , mambo yapo wazi kbs huez teua mtu asimamie uchaguz wa wew na mtu mwinginr ambae hujui kama akipata nafas atakupa ulaji , ebu tujadili hz mada kama tuna akil timamu
 
Wapi nimesema ni sahihi? Ukifuatilia mimi niliuliza swali, Huko nje wanapatikanaje? Nikajibiwa, na nikaona nao bado wanafanya madudu yale yale tunayoyakataa, nikamjibu " mbona huko nako Rais bado anateua/kupendekeza majina?
 
Huu Ni Uhuni Wa Wazi Wazi, Yaani CCM Inaingia Kwenye Uchaguzi Na Majubu
 
View attachment 3235364
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuita uchaguzi wa aina hii ni wa 'HURU NA HAKI'. Dunia nzima inaishangaa Tanzania, mbaya zaidi ni pale inapojinasibu huko duniani kote kwamba ni nchi ya kidemokrasia! Hii ni AIBU kubwa sana! Nahisi dunia nzima inashangaa na kuhoji kama watanzania ni watu wenye akili timamu au vinginevyo ni watu wenye IQ ndogo sana au kuna pahala akili za watanzania hazipo sawa.

Hii ni sawa na kusema mchezo wa mpira wa miguu kati ya Lesotho na Tanzania alafu kuanzia mashabiki, uwanja, refa, linesmen, match commissioner nk. Vinawekwa na kusimamiwa na Tanzania then utarajie Lesotho ishinde! Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kusema huo ni ushindani wa haki.

CCM imenufauka mno kwa miaka mingi kutokana na mfumo huu mbovu. Mbaya zaidi imetumia mfumo huu mbovu kujijenga na kujinufaisha mno kulinganisha na vyama vingine vya upinzani. Ni sawa na timu ambayo imeshinda makombe na fedha nyingi kwa njia hizo zisizo za kihalali kisha kwa miaka mingi hiyo ikatumia fedha hizo hizo kujipa nguvu zaidi kuendelea kutawala kwa njia zisizo halali.

Dunia inashangaa, Je, ni kwamba watanzania hawaoni jambo hili? Wamerogwa? Au ukosefu wa elimu? Umasikini?

Uchaguzi si kwa ajili ya ubunge na madiwani tu, ambapo kwa miaka mingi CCM imetumia njia ya kukubali ushindi kwa baadhi ya majimbo kwa vyama vya upinzàni ili kuuhadaa umma juu ya mfumo huu wa uchaguzi ambao si wa haki na huru, Na kwa bahati mbaya vyama vya upinzani vikishapata viti kadhaa bungeni vinasahau kwamba CCM kamwe hawawezi na hawako tayari kuachia serikali kuu kwa chama cha upinzani!
Je, Huu ndiyo uchaguzi huru na wa haki? HAPANA, huu si uchaguzi wa huru na haki.

MUNGU IBARIKA AFRIKA, MUNGU IBARIKA TANZANIA.
Hivi hapo Popo (Mze Wassira) kalala tena akiwaza machangu wake au anasingizia kuandika?
 
Ni mwendawazimu tu ndio atakubali kuwa ni uchaguzi huru na haki
 
Back
Top Bottom