Tanzania ndo nchi ambayo unaweza kusoma mpaka chuo kikuu na bado data zako zisionekane popote wakizitaka

Tanzania ndo nchi ambayo unaweza kusoma mpaka chuo kikuu na bado data zako zisionekane popote wakizitaka

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Hii ni nchi ya ajabu sana. Unamaliza mpaka chuo kikuu lakini siku ya interview wanakwambia hawakujui eti kisa ulipoteza vyeti tu hata kama viliungua moto ndani.

Nchi ya maajabu sana. Hata IT Tanzania haifanyi kazi kabisa.

Hii niyo nchi ya vi wonder kama alivyosema JPM
 
Kwa sababu za kiusalama ndio maana iko hivyo🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🤣
 
Yaani ni ujinga tupu. Hebu fikiria mtu ameajiriwa lakini Kila baada ya Mwaka wanakutaka halimashauri ujaze nyaraka kuhusiana na elimu. Sasa walikuajiri vp kama hawana hizo taarifa, na zaidi taarifa hizo huwasilishwa TAMISEMI wakati walipaswa kuwa na database zenyw taarifa za waajiriwa. Na kama mtu kaenda kujiendeleza taarifa wanapaswa kuwa nayo na maendeleo yake kitaaluma yanapaswa kuonekana kwenye mfumo. Kwa ujinga wetu tunawahi kununua robot Sofia badala ya kuwekeza kwenye IT.
 
Back
Top Bottom