Yaani ni ujinga tupu. Hebu fikiria mtu ameajiriwa lakini Kila baada ya Mwaka wanakutaka halimashauri ujaze nyaraka kuhusiana na elimu. Sasa walikuajiri vp kama hawana hizo taarifa, na zaidi taarifa hizo huwasilishwa TAMISEMI wakati walipaswa kuwa na database zenyw taarifa za waajiriwa. Na kama mtu kaenda kujiendeleza taarifa wanapaswa kuwa nayo na maendeleo yake kitaaluma yanapaswa kuonekana kwenye mfumo. Kwa ujinga wetu tunawahi kununua robot Sofia badala ya kuwekeza kwenye IT.