Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenifanya nifurahi wee mwanamke hahahWe cheka tu
Neno sahihi ni chat sio chartTanzania ndo Nchi pekee lazima uchart na babe wako daily ili Usiachwe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ndo Nchi pekee lazima uchart na babe wako daily ili Usiachwe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama sio pumzi kusema usiposalimiwa utakufa.Sio kila mara, walau msalimiane asubuhi mnapoenda kwenye mihangaiko au usiku mnapoenda kulala
uchaji nini?Mimi umri huu sio lazima nichaji na totoz kila siku.
Nichat...
Mahusiano yasipokuwa na mawasiliano inakuwaje? Tuambie inatakiwa iweeje
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida nyingine, mnawaza kuambiwa repeated nakupenda kila mala, story zingine huna kabisa.Ni muhimu rafiki
Mbona unanijumuisha kama vile unajua nafanya hivyo? Hebu nijaribu mimi uoneShida nyingine, mnawaza kuambiwa repeated nakupenda kila mala, story zingine huna kabisa.
Ni kweliSalama sio pumzi kusema usiposalimiwa utakufa.
I love youMbona unanijumuisha kama vile unajua nafanya hivyo? Hebu nijaribu mimi uone
You are my son, of course you don't have a choiceI love you
My life is mine to remember