Tanzania ndo Nchi pekee lazima uchart na babe wako daily ili Usiachwe

Dah... hii imenigusa sana aisee maana me sinaga hayo mambo sasa napata tabu kweli eti naambiwa nimchatishe, nipige pige simu na nitume tume vishilingi kila wakati kwa kamchumba kangu nilikokapata huko kijijini kwetu eti la sivyo nitakakosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuachwa/ kuacha/kuachana kuko palepale hata mkichat siku nzima bila kupumzika.
 
Hawaamini katika mahusiano bila kuchat au kupigiana simu,mm kwakweli huwa napenda kuwa peke yangu most of the time naweza kutopiga simu kwa mtu hata wiki,sasa wao usipige siku tuu hayo maelezo yake yanazidi yale maswali ya history o level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…