Tanzania needs these kinds of roads currently!

Tanzania needs these kinds of roads currently!

Itawezekana kama tutatumia viwanda vyetu vya cement na kuachana na lami.

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    140.9 KB · Views: 57
Ni maamuzi tu kaka. Unafumba macho unatekeleza, mwanzoni wakati unatekeleza unaweza kubezwa, faida inakuja kujulikana baada ya miundombinu kukamilika. Angalau kwenye masterplan ingewekwa tu idea hiyo ya prototype kama ile ya mji wa Kigamboni basi tukawa na ndoto za implementation miaka ijayo, lakini hata mpango tu kwenye makaratasi sijaona wa barabara za juu. Basi hata zile grade interchange( under pass na overpass) kwenye makutano hasa pale Ubungo, Tazara nadhani na Magomeni nazo chapuo lake kimya!
Mkeshaji yuko sahihi, hatuna watu wa mipango miji, ama ni vilaza au ni njaa kali! Nchi zilizo makini zinaweka mipango ya miaka mingi sana mbele, hifadhi ya barabara inakuwa kubwa mpaka unashangaa, angalia baadhi ya barabara za Nairobi, zina hifadhi kubwa mno ya barabara mpaka linakuwa pori, tena hifadhi inakuwa katikati ya lane za kulia na kushoto, hapo ni mtu kichaa kamili anayeweza kuvamia! Sasa sisi tunagawa tu viwannja mpaka barabarani, tena watu wanaona viwanja vya barabarani ni deal, anajua baada ya miaka mitano au kumi atakuja kulipwa pesa ya maana! Kwa barabara za dar ni kero tupu, labda tuhamishe mji wote tuanze upya!..inabidi tuuhamishie ukwereni.
 
Last edited by a moderator:
ila ndugu, hawa madereva wetu vibomu wataweza kweli kufuata sheria za hizi barabara?

unaweza kushangaa gari linadondoka kutoka juu na kumwangukia anayepita kwenye barabara ya chini, eti dereva alikuwa anatanua.:smile-big:
 
ila ndugu, hawa madereva wetu vibomu wataweza kweli kufuata sheria za hizi barabara?

unaweza kushangaa gari linadondoka kutoka juu na kumwangukia anayepita kwenye barabara ya juu, eti dereva alikuwa anatanua.:smile-big:
 
Itawezekana kama tutatumia viwanda vyetu vya cement na kuachana na lami.

Yes, hili nalo neno.
Lami inaweza kuwa expensive zaidi ya cement.
Na pia lami inabomoka haraka kuliko cement kama barabara itapita sehemu inayotuamisha maji.
 
unaweza kushangaa gari linadondoka kutoka juu na kumwangukia anayepita kwenye barabara ya chini, eti dereva alikuwa anatanua.:smile-big:

Kwa 'swaga' hizi hapa kwenye picha, hakuna kutanua...!!!

Hii ni Dodoma ya mwaka 2025...!!! Usipime..!!

high-five-dallas.jpg
 
Weka jina lako halisi hapa tuanze kukupigia debe, kwa kutumia kivuli itakuwa kazi !!!!!!!!!!!!!!!!
Sawa mkuu niko Uchina naizeesha ngozi ili wakubali kwamba nina miaka 47 baada ya hapo kazi hii nitakuachia wewe ila uwaziri wa Kilimo lazima nikupe wewe mkuu.
Nalog off
 
Sawa mkuu niko Uchina naizeesha ngozi ili wakubali kwamba nina miaka 47 baada ya hapo kazi hii nitakuachia wewe ila uwaziri wa Kilimo lazima nikupe wewe mkuu.
Nalog off

Jitahidi, ukiingia ktk kundi la akina Zitto la umri mdogo ndio basi tena,nakuombea heri katiba iruhusu umri wenu wa chini isiwe kikwazo. Ukinipa Uwaziri wa kilimo nitashukuru Mungu ili na mimi nichangie maendeleo ya wakulima na hatimaye Taifa kwa ujumla.
 
Bara bara hizi mbona zipo muda mrefu bongo? Sema kwenye documentary,ni mpango mkakati tu unasubiriwa baada ya upembuzi yakinifu!
 
Jitahidi, ukiingia ktk kundi la akina Zitto la umri mdogo ndio basi tena,nakuombea heri katiba iruhusu umri wenu wa chini isiwe kikwazo. Ukinipa Uwaziri wa kilimo nitashukuru Mungu ili na mimi nichangie maendeleo ya wakulima na hatimaye Taifa kwa ujumla.
Nikishinda nakuahidi kukupa hii Wizara.
 
Nikishinda nakuahidi kukupa hii Wizara.

Itabidi uniteue kwanza niwe mbunge kwa utaratibu wa sasa, kisha unipe uwaziri. La sivyo uombe katiba mpya iseme mawaziri hawatakiwi kuwa wabunge, maana mimi na siasa ni kama mbingu na nchi.
 
Back
Top Bottom