Hii ni vita mpya na uwenda moja ya vita mbaya kabisa kuwahi tokea ktk historia ya Taifa.
Baada ya msoto vijana wenye akili waliweza kumuingiza kijana mwenzao ambaye hakuwahi kuwa na historia ya viongozi kutoka ktk familia za ma chifu.
Ila kwa bahati mbaya sana kijana hakumaliza safari na kuacha kundikubwa la aina ya vijana kama yeye kubaki ktk mtanziko mkubwa wa maswali yasio namajibu.
Kama nimfuwatiliaji wa mambo hili taifa lina watu wanalila kwa utam ambao hapana mwanadam mwingine anaweza kujuwa au kuupata.
Na haya majamaa yapo kwenye mfumo wa serikali pasipokuonekana kabisa huwezi kujua nani ni nani ila yanakula nakusaza while vyombo vikiwa ktk doz ya usingizi mzito sana.
Mfano kule SA kulikuwa na familia inaitwa Gupta haya majamaa yalikuwa nihatari sana kiasi nguvu yao ililiteka bunge na Rais thanks God serikali ya SA nimoja ya serikali ina sheria ngumu kwa majizi kupita na pia kule zipo familia nyingi zinakula national cake as result mwisho wao hakuwa mzuri.
Tanzania ina rasilimali nyingi sana na mtakubaliana na mimi zipofamilia zinakula cake ya taifa na hizi familiaujio wa kijana yule ilikuwa nimsumari wa moto ktk kidonda maana kweli aluwapelekea moto nakuwavuruga huku wakiunda kizazi kipya cha ma tajiri.
Jambo hili halikuwa jambo lakufurahisha na uwenda lilimletea maadui wengi kuliko alivyofikiri hasa baada ya makabila fulani kuona maisha yao yapo ktk hali yahatari nakuchukiwa wazi wazi.
Mbaya zaidi nikutaka kuzidhoofisha familia tajiri ambapo zingine nikweli zilipata utajiri ktk hali ya halali.
Baada ya kifocha namba one Vita mpya imeanza vita kali nayatutisha sana sisi tunao iona kwa jicho la tatu tuna tetemeka nakuwa kesho ya Tz itakuwaje.
Huu ni ukweli mchungu na uwenda ndio ukweli unatesa idara yetu nyeti ya usalama yani makachero wa Weast and East... Ujamaa au democrasia.
Misingi ya taifa hili ilijengwa ktk ujamaa ila baada ya mwalimu kung'atuka tulijiingiza kwa ubepari kwakukubali mambo mengi ya Kidemocrasia .
Shida ilikuja pale kundi kubwa lenye support za kimagharibi kuwa kitisho cha usalama wa taifa ktk maswala ya siasa maana watanzania waliwaelewa sana. Ila ndani ya chama tawala wakibebwa na itikadi za kiujamaa na kuongozwa kwa mifumo yao ya kiujamaa japo nje ya chama wakiwa wa democrasia hili nalo ni jini ndani ya kichupa linalo wapukutisha wengi wanao taka kulifungua. Ndani ya chama ukijulikana unautaka urais basi sahau kuwa rais au tegemea kuwekewa mtu anafanana na wewe kuikatiza safari yako....
Nisiseme sana ila mwenye macho aambiwi tazama.
Kwa kulijuwa hili mataifa yenye uchu wa ardhi na rasilimali ya taifa hili ambazo nyingine hazijaguswa wamekuwa wakiwaza usiku na mchana jinsi yakutunyoosha nakutudumaza ktk siasa na ulinzi wa national 🍰
Nitaendelea...