Tanzania new war for national cake

Huyo kijan
Huyo kijana mwenyewe alikuwa mwizi tu,angeendelea kuwepo,angakuwa anafanya kama Hawa wa sasa hv.
 
Hii iko hivyo duniani kote. Nenda kwa familia ya Mseveni Uganda, Kenyatta - Kenya, Kagame - Rwanda, Malkia Elizabeth - Uingereza mpaka kwa Puttin na wenzie huko Urusi.

Suala la msingi ni kuwa hiyo cake waipate kwa njia halali, maana cake ipo kwa ajili ya raia wote wa Tanzania na wao wakiwemo.
 
Kijana mwenye roho mbaya na uchu wa madaraka vimemtokea puani sasa ile gang aliyoiunda imebaki gizani isijue cha kufanya hasa baada ya kuona miongoni mwao wameanza kula mvua za kutosha.
 
Vita hiyo itathibistisha maandishi ya mwana falsafa mmoja kutoka huko Africa Magharibi Chinua Achebe kwenye kitabu chake cha "THings Fall Apart"

Ndipo chimbo la uhuru wa kiuchumi na kimaarifa utakapoanzia kuibuka na hatimaye kufika kilele cha ukombozi kamili

Mfumo mzima na mizizi yake utang'olewa na mtu asiye sehemu yao kwa nguvu ya vijana na wananchi waliochoka uonevu, manyanyaso, kupuuzwa, dhuluma, na mateso kwa kudai haki yao ya asili na sheria.
 
Bora mashetani wa zamani, Wapya wa rogo mbaya Sana afu sio Watanzania, Ni Bahima Empire wanaojificha kwenye Usukuma na Uhaya.
 
Hukusema haya kipindi cha mwendazake. Sasa hivi mrija umekata umeanza kulialia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…