Tanzania new war for national cake

JF huwa hatuongei kwa mafumbo....kama hatuko tayari kuaandika kile tunachonacho basi ni vyema tukae kimya kwanza mpaka tutakapokuwa tayari...kama nakosea nipo tayari kusahihishwa.
 
JF huwa hatuongei kwa mafumbo....kama hatuko tayari kuaandika kile tunachonacho basi ni vyema tukae kimya kwanza mpaka tutakapokuwa tayari...kama nakosea nipo tayari kusahihishwa.
Anajihami in advance ikitokea akaitwa kituo cha polisi for interrogation.
 
Nidokeze hata PM mkuu, itabaki kuwa siri yangu.
Jamaa atakuwa anawaza Mapinduzi ya kijeshi nchini!!nabashiri tu!!coz Kuna mcheza ngoma wa kisukuma aliona kwenye ndoto wajeda wakisafiri kutoka kaskazini kwenda kusini kwenye vita halafu alaina wajeda wakikataa viongozi wakubwa wa nchi!!!akasema alitabiri hayo sehemu akakamatwa kwao hiyo hata hapo Anaweza kamatwa na kuhojiwa!!
 
Nidokeze hata PM mkuu, itabaki kuwa siri yangu.
Jamaa atakuwa anawaza Mapinduzi ya kijeshi nchini!!nabashiri tu!!coz Kuna mcheza ngoma wa kisukuma aliona kwenye ndoto wajeda wakisafiri kutoka kaskazini kwenda kusini kwenye vita halafu alaina wajeda wakikataa viongozi wakubwa wa nchi!!!akasema alitabiri hayo sehemu akakamatwa kwao hiyo hata hapo Anaweza kamatwa na kuhojiwa!
 
Asee, ngoja tusubiri na kuona
 
Mbona mlizbindwa kumwambia jiwe alete katiba mpya haraka iwezekanavyo
 
Ccm ni janga Kama yalivyo majanga mengine ya magonjwa ya mlipuko! Mnapoelimishwa umuhimu wa katiba mpya muwe mnaelewa na kuunga mkono!
Timu msoga imerudi kazini Kwa Kasi ya makombora ya south Korea na Bado mtalia mno karbuni mtakapoanza kulipa mikopo Kwa Kasi! Nchi imerudi nyuma kimaendeleo huku mkishangilia miradi ya kuifilisi nchi eti mnajenga uchumi!
Nasema Bado kabisa Kuna rangi hamjamaliza kuziona za bandari ya msoga! Kataeni uhuni wa nchi kuongozwa na wastaafu Kwa kuishupalia katiba mpya, hamtachekwa na mtanishuru mbelembele huko!
 
Hata kama hauwamini Juu ya Mungu na manabii basi Uzi huu naukufungue macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…