Self esteem ni vile jinsi unavyojikubali kwa mtazamo wako, watu wengi hujikubali kwa maarifa waliyonayo, elimu, vipato, n.k.
Kwa wenzetu nchi zilizoendelea mtu anajikubali zaidi na kuona kinachompa heshima na kukubalika ni Maarifa mfano kujisifu kila mwaka anasoma vitabu 30, Kipaji kinachomfanya ang'ae, kazi ya kizalendo inayoheshimika, kuwa mfanyabiashara mwenye mbinu za kuteka masoko, n.k.
Tuje hapa bongo sasa..........
Kwenye suala la self esteem, Mwanaume wa kitanzania kigezo kikuu ni ngono, sehemu inayomuumiza zaid na kumheshimisha zaidi na kuona ndicho kihezo kikuu cha kujivunia ni mambo ngono, ni heri umkashifu kukosa kazi, elimu, kipaji, n.k. ila sio 6x6, yupo tayari kuua figo kwa kutumia panado na mo energy ili aipate heshima kitandani, mwanaume wa kitanzania hujithaminisha zaidi kwa uwezo wa kurudia tendo, muda wa tendo, size ya maumbile, n.k kuzidi kipato, maarifa, kipaji, n.k.
Mwanamke mwenye masters na kazi yake hajiamini kisa hana kalio, mkikwaruzana mwambie wewe una masters ya kuunga unga wala hataumia anajiamini na anajikubali kwamba kaelimika, ila itokee sasa hata watu wamwangalie mara mbili wamshangae anaanza kujihisi labda walikuwa wanaangalia "mpodo", huyoo anenda uturuki kuchoma dola elf 5 kuongeza kalio, Why ? ndicho kipaumbele kwake kwa kuona kitampa heshima na yeye kujikubali