Tanzania ni kati ya nchi chache zenye usalama wa uhakika katika Aftica

Tanzania ni kati ya nchi chache zenye usalama wa uhakika katika Aftica

Kachukue posho na sadaka chawa wa mama.
Mama si chochote CCM ni taasisi. Ukileta foko foko utajua hujui. CCM ni taasisi iliyokamilika kumbuka nyoko nyoko za Lowasa na safari yake ya matumaini ndo utakua CCM ni nani
 
Lowasa hakuwa rais ndio maana alifeli. Nchi hii ukiwa rais una madaraka makubwa sana aisee!
Rais akiwa na backup ya CCM. CCM ikiamua mama yarudi 2025. CCM sio rais ni taasisi iliyojichimbia chini yaani ni deep state
 
Rais akiwa na backup ya CCM. CCM ikiamua mama yarudi 2025. CCM sio rais ni taasisi iliyojichimbia chini yaani ni deep state
Hakuna kitu kama hicho. Mwenyekiti wa ccm ambaye ndiye rais anachomoe mtu yeyote ambaye hamtaki chamani na kuweka anayemtaka. Yani anajitengenezea backup yake
 
Taasisi zinazopanga ranking zote hazitaja TZ afrika kuwa hata kwenye top ten. Hata hiyo nairobi iliyo Kenya haimo. So, tusijipe moyo sana
Wachana na mabeberu wapuuzi hao WB, IFM, UN (mbwa Koko)... We nenda mtaani tembea saa tisa usiku utafika kwako salama.

Nina mwaka wa saba hapa dar sijawahi sikia sauti ya bunduki( risasi) afu eti kwenye ranking hatupo upuuzi tu
 
Hakuna kitu kama hicho. Mwenyekiti wa ccm ambaye ndiye rais anachomoe mtu yeyote ambaye hamtaki chamani na kuweka anayemtaka. Yani anajitengenezea backup yake
Sasa nikuulize mama anautaka urais 2025? Nijibu halafu nikwambie ukubwa wa CCM wala sio ukubwa wa Rais
 
Wachana na mabeberu wapuuzi hao WB, IFM, UN (mbwa Koko)... We nenda mtaani tembea saa tisa usiku utafika kwako salama.

Nina mwaka wa saba hapa dar sijawahi sikia sauti ya bunduki( risasi) afu eti kwenye ranking hatupo upuuzi tu
Umeenda nchi kama mauritius, ghana, namibia, botswana, gambia ukatembea saa tisa usiku ukakosa kufika kwako? Hizo ni kati ya nchi zilizo top ten.
 
Umeenda nchi kama mauritius, ghana, namibia, botswana, gambia ukatembea saa tisa usiku ukakosa kufika kwako? Hizo ni kati ya nchi zilizo top ten.
Tz is one of them. Kweli huko sijawahi kufika watakua vizuri kama sisi. Nimewahi fika Nairobi na kampla maisha ni mshike mshike Kila dakika kinanuka
 
Sasa nikuulize mama anautaka urais 2025? Nijibu halafu nikwambie ukubwa wa CCM wala sio ukubwa wa Rais
Anautaka na wote wanaoutaka atawakata mikia. Ukitaka kujua ukubwa wa rais ni pale ambapo mwenyekiti alimchukua bashiru ambaye kila mtu alijua alikuwa cuf akamfanya kuwa kiongozi ndani ya ccm na akamweka mwenezi ambaye wengi walimwona wakuja na watu wote wakaufyata mkia.
Rais a.k.a mwenyekiti wa ccm anaweza toa yeyote ambaye anahisi hamsupport akaweka wa kwake. Ndio maana makonda juzi juzi alisema mama alikuja na jina lake hakujali ambao walikuwa sijui hawamtaki. Same kikwete alisema aliingia na jina la magufuli watu wakapinga pinga lakini akatumia madaraka yake kama mwenyekiti.
 
Tz is one of them. Kweli huko sijawahi kufika watakua vizuri kama sisi. Nimewahi fika Nairobi na kampla maisha ni mshike mshike Kila dakika kinanuka
Basi kwa sababu hujawahi kufika ndio maana hujui kipi kinaendelea. Mimi nimeishi kampala na masaka kwa miaka mingi tu. Maisha fresh tu vijana wana party like hakuna kesho usiku kama kawa.
Watanzania hatutembei na ndio maana tunahisi amani iko TZ tu.
 
Back
Top Bottom