Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu ktk soka

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Niko naangalia mechi ya zimbabwe na Tanzania kwakweli magoli tunayofungwa sijui hata nisemeje poor team poor defence poor everything
 
Kocha mkwasa ni zero kabisa, wachezaji hovyo, yaani naishauri serikali ya rais JPM kuitoa timu hii kwny mashindano yote ya kimataifa kwa miaka mitano tujipange upya, kwanza tuta save fedha za serikali na kubana matumizi, vilevile kubana safari za nje ya nchi zisizo za lazima kama hizi, ninavyoandika sms tumeshafungwa magoli 3 kwa bila, Mheshimiwa Rais JPM sikia ombi langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…