Kocha mkwasa ni zero kabisa, wachezaji hovyo, yaani naishauri serikali ya rais JPM kuitoa timu hii kwny mashindano yote ya kimataifa kwa miaka mitano tujipange upya, kwanza tuta save fedha za serikali na kubana matumizi, vilevile kubana safari za nje ya nchi zisizo za lazima kama hizi, ninavyoandika sms tumeshafungwa magoli 3 kwa bila, Mheshimiwa Rais JPM sikia ombi langu.