Tanzania ni lini Tutakua Taifa (Nation)?

Tanzania ni lini Tutakua Taifa (Nation)?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Nimejifunza kitu wiki hii Tofauti ya Nation na Country.
Kwa kiswahili sijui ni aje
Nchi na Taifa.

Taifa ni nchi yenye
Tamaduni moja
Lugha moja
Dini moja
na mila moja

Wakati nchi Ni jamii ya watu wenye lugha tofauti na tamaduni tofauti waliojikuta au kuishi pamoja.

Mfano wa mataifa
-Ujerumani
-Ufaransa
-Uingereza
-Lesotho
-Somalia

Nchi
Tanzania
Kenya
Nigeria
Africa kusini
Uganda na nchi nyingi za Africa
 
Kwani tunapungukiwa nini?
 
We umechanganyikiwa tuliza akili
 
Back
Top Bottom