Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Mbna basi kachukuliwa video km katelekezwa, inamaana bado kulikuwa na watu lkn tatizo hawana vifaa vya kumhudumia...
Au ulitaka abebwe na hao waliomchukua video

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una matatizo sana, hao wanaomchukua video ni maofisa wa Tanzania baada ya kupata habari toka kwa wapita njia kwamba kuna mtu ametelekezwa peke yake na hawamfahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That's why u decided to copy and paste China's approach
CHina inafungia watu kwa nyumba na kufuli inapigwa kwa nje na chakula unaletewa kila siku, no one can copy China, jamaa walijenga hospitali spesheli na kushuhulikia wagonjwa wote kwa mpigo
 
Swali ni moja tu, Wamarekani wanajua idadi ya maambukizi, kwanini haiwasaidii kwa lolote?, wacha maneno mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sweden, Japan, UK, na nchi nyingi za Europe hazipimi, mbona zinafanya vizuri kuliko Marekani na hizo nchi zingine kama Italy na Spain zinazopima?.

Wacha maneno mengi, kitu pekee kinachosaidia kupunguza maambukizi ni " Social distancing" hasa total lockdown ". Ninyi ni watu ambao hamna uwezo wa kufikiria kwa undani, huwezi kupambana na janga kubwa kama hili kwa kupima nchi nzima, Kenya jambo litakalowasaidia ni "Social dist dancing', upimaji hauna maana yoyote, mnapoteza muda na pesa bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakudanganya kwamba akina Sweden na UK hawafanyi testing???? endelea kujidanganya, yani ni kama naongea na kitoto kidogo..... Hapa tunaongelea kufanya testing ili kuondoa wale walio ambukizwa kwa jamii na ku wa isolate, wewe bado unafikiria mambo ya kuzulia usambazaji>>> ntse!

Wacha nikuelezee kama mtoto kwa kutumia mfano ambao ni rahisi kuelewa...

Ni vipi njia ya ku avoid kushikwa na TB????? ku avoid TB utafanya the same things ambazo tunafanya ku avoid corona, cover mouth when caughing, social distance, wash hands regularly.

But whats the best way kuhakikisha TB is not even a problem in your country, Isolate whoever has TB untli they heal.. This way no one has TB to spread in the first place.... And how do you Isolate everyone who has TB from the population? Testing, testing, testing!

===========

UK waliambiwa na Italy waanze kujitayarisha manake hadi last week walikua wanafanya vile Italy ilifanya pale mwaanzoni kwa kuamini eti waliamini wao ni watu tofauti wenye culture ya kivyake ....
Hivi unajua WHO inasema wanaona UK ndo itakua na vifo vingi kushinda Italy na Spain hapo Europe???

Wasikize wenzako UK sasa wanataka kujifunza kutoka Germany ambayo ndo mfano mzuri zaidi wa kupambana na corona

England’s chief medical officer has admitted the UK has a “lot to learn” from Germany over its rapid rollout of coronavirus testing, as Downing Street said prime minister Boris Johnson remained in a “stable” condition in an intensive care unit. Chris Whitty’s frank admission came after many weeks in which Mr Johnson and fellow ministers defended their policy of ending mass community testing on March 12, when as few as 5,000 Britons were thought to be infected by the disease. As Britain’s daily death rate hit a record 786, taking total hospital deaths to more than 6,000, Prof Whitty told a Downing Street press conference: “We all know that Germany got ahead in terms of its ability to do testing for the virus and there's a lot to learn from that and we've been trying to learn the lessons from that.” While Britain is struggling to carry out 15,000 tests a day — up from only 1,500 at the start of the crisis — Germany has been recording tests of some 50,000 a day. The peak of the crisis in the UK is expected over the Easter weekend. Germany is reporting about 150 deaths per day. When the UK was the same number of days into its outbreak, its daily death toll was more than 500. Testing is likely to play a key part in an exit strategy from the UK lockdown, if ministers can deliver on a promise of increasing testing capacity to 100,000 by the end of April. For now, tight social-distancing rules are set to remain in place for some time

Source Subscribe to read | Financial Times
 
Ripoti ya WB inaongelea kuhusu impact za kiuchumi, na wala sio hatua za kupambana na corona.... Yani kwa kifupi, hakuna popote WB inaseema kueka restrictions na kufunga biashara zengine zenye hualika watu wengi haizulii usambazaji wa corona. Inasema Africa ni kesi spesheli manake uchumi wetu Africa hauwezi ukavumilia hali ya kutokua na biashara kabisa... na kwamba tunafaa tuweke mikakati ambayo inaangalia hali hetu za kiuchumi...
Kwa hio ripoti hakuna mahali wameisifu Tanzania, hio aya ya "Thanks, President John Magufuli for not duplicating policies implemented in advanced countries and some middle " haiko kwa hio ripoti ya WB, Infact hakuna mahali Magufuli ametajwa! mwenye kaandika hio habari ulioleta kajiongezea yake.

Hivi ndo ripoti hio inasema
1586791987066.png

Hapo nime highlight kwa yellow, hio ndo sababu kuu WB wanasema tusi igizie nchi zilizoendelea kwasababu hali yetu ni tofauti, Kwa mfano kule first world countries, watu wengi wako kwa paid leave, huku Africa wengi wako kwa informal sector, ukiwekewa total Lock down, hakuna mshahara wowote utapewa na mtu... Kwahivyo Africa tusi copy paste mikakati ya uzunguni bila kuangalia hali zetu za kiuchumi...

Lakini vile vile, hio ripoti ya WB imetoa mifano kadhaa ya kugiziwa ya nchi za Africa ambazo mbali na kueka mikakati ambayo nchi zengine zinaweka, pia tumeongeza mikakati ambayo inaangalia hali zetu ya kiuchumi,

1586792539588.png

Huku Kenya sahii machifu na wazee wa kijiji wanazunguka kila kijiji au kitongoji duni na kuandika watu majina na kuchukua nambari za simu za kila mzee/mama wa nyumba, alafu watatumiwa 15,000 za kustiri familia zao kwa mwezi... Hii ni mikakati ambayo haijagiziwa kutoka huko nje, Hivyo ndo WB ilikua inajaribu kusema, kwamba tusi copy paste tu mamb ya ulaya, ila tuangalie hali yetu kwanza.....

Ripoti original hii hapa, kajisomee uniambie wapi TZ katumika kama mfano mzuri

Africa's Pulse, No. 21, Spring 2020 : An Analysis of Issues Shaping Africa’s Economic Future
 
We jamaa si ungefuta tu huu uzi wako

Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?.

Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.

Viva Tanzania; Tumejipanga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni kweli media inapaswa kuripoti kila kitu kwa namna hii? Mbona mazishi yako hivi nchi zilizoendelea kutokana na hali halisi ya maambukizi ? angalieni huko Kenya watu wakiuguliwa watakuwa hawatoi ripoti serikalini

Hio kitu imekua iki trend kwa Twitter , wakenya mitandanoni wamekua wana demand mwili ufukuliwe na uzikwe tena na heshima na tamaduni za kiluya...
Serekali ya Siaya ikiwakilisha familia ya aliefelewa inaongea na Serekali kuu, kuna uwezekano mwili huo unaea ukafukuliwa au angalau familia itaruhusiwa kufanya maombi flani ya kitamaduni kuomba msamaha aliezikwa ili kuregesha heshima

COVID-19 burial in Siaya that sparked outrage » Capital News

Kwavile media ilionyesha hio video na ikasambaa, watu wakashtuka na kulalamikia serekali hadi ikabidi serekali kuu itoe hilo tamko kwamba wanaongea na serekali ya county kuona vipi watarekebisha hayo makosa.. Hii itahakikisha hakuna mazishi mengine kama haya yatafanywa kwa hali hii manake wanajua mdeia itawaripoti na wakenya watakashifu serekali vibaya.... Kama media haingeripoti basi serekali ingeendelea kutenda uovu huu kwa kila anaekufa na korona na familia yake haina uwezo.... Hakuna mahali kwa guidlines za WHO inasema aliekufa na corona asipewe heshima ya mwisho ...
 
Tuombe mungu hali isiwe kama italy, au USA coz mtu unaweza kufiwa mpaka ukaona hamna haja tena ya kuzika wala hutokuwa na sababu ya kufatilia taarifa tu itatosha
 
Nani kakudanganya kwamba akina Sweden na UK hawafanyi testing???? endelea kujidanganya, yani ni kama naongea na kitoto kidogo..... Hapa tunaongelea kufanya testing ili kuondoa wale walio ambukizwa kwa jamii na ku wa isolate, wewe bado unafikiria mambo ya kuzulia usambazaji>>> ntse!

Wacha nikuelezee kama mtoto kwa kutumia mfano ambao ni rahisi kuelewa...

Ni vipi njia ya ku avoid kushikwa na TB????? ku avoid TB utafanya the same things ambazo tunafanya ku avoid corona, cover mouth when caughing, social distance, wash hands regularly.

But whats the best way kuhakikisha TB is not even a problem in your country, Isolate whoever has TB untli they heal.. This way no one has TB to spread in the first place.... And how do you Isolate everyone who has TB from the population? Testing, testing, testing!

===========

UK waliambiwa na Italy waanze kujitayarisha manake hadi last week walikua wanafanya vile Italy ilifanya pale mwaanzoni kwa kuamini eti waliamini wao ni watu tofauti wenye culture ya kivyake ....
Hivi unajua WHO inasema wanaona UK ndo itakua na vifo vingi kushinda Italy na Spain hapo Europe???

Wasikize wenzako UK sasa wanataka kujifunza kutoka Germany ambayo ndo mfano mzuri zaidi wa kupambana na corona

England’s chief medical officer has admitted the UK has a “lot to learn” from Germany over its rapid rollout of coronavirus testing, as Downing Street said prime minister Boris Johnson remained in a “stable” condition in an intensive care unit. Chris Whitty’s frank admission came after many weeks in which Mr Johnson and fellow ministers defended their policy of ending mass community testing on March 12, when as few as 5,000 Britons were thought to be infected by the disease. As Britain’s daily death rate hit a record 786, taking total hospital deaths to more than 6,000, Prof Whitty told a Downing Street press conference: “We all know that Germany got ahead in terms of its ability to do testing for the virus and there's a lot to learn from that and we've been trying to learn the lessons from that.” While Britain is struggling to carry out 15,000 tests a day — up from only 1,500 at the start of the crisis — Germany has been recording tests of some 50,000 a day. The peak of the crisis in the UK is expected over the Easter weekend. Germany is reporting about 150 deaths per day. When the UK was the same number of days into its outbreak, its daily death toll was more than 500. Testing is likely to play a key part in an exit strategy from the UK lockdown, if ministers can deliver on a promise of increasing testing capacity to 100,000 by the end of April. For now, tight social-distancing rules are set to remain in place for some time

Source Subscribe to read | Financial Times
Ushahidi huu hapa, Waingereza hawapimi wanatumia dalili zaidi.https://youtu.be/TH8_smmtDng
Ninyi ni watu wa kuiga toka nchi zingine, uwezo wa kupanga mambo yenu wenyewe hamna. Umesikia WB walivyoisifia Tanzania kwa kujipangia mambo yake bila kuiga kama ninyi wakenya?. Wakenya hamna akili ya kushindana na Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ripoti ya WB inaongelea kuhusu impact za kiuchumi, na wala sio hatua za kupambana na corona.... Yani kwa kifupi, hakuna popote WB inaseema kueka restrictions na kufunga biashara zengine zenye hualika watu wengi haizulii usambazaji wa corona. Inasema Africa ni kesi spesheli manake uchumi wetu Africa hauwezi ukavumilia hali ya kutokua na biashara kabisa... na kwamba tunafaa tuweke mikakati ambayo inaangalia hali hetu za kiuchumi...
Kwa hio ripoti hakuna mahali wameisifu Tanzania, hio aya ya "Thanks, President John Magufuli for not duplicating policies implemented in advanced countries and some middle " haiko kwa hio ripoti ya WB, Infact hakuna mahali Magufuli ametajwa! mwenye kaandika hio habari ulioleta kajiongezea yake.

Hivi ndo ripoti hio inasema
View attachment 1418311

Hapo nime highlight kwa yellow, hio ndo sababu kuu WB wanasema tusi igizie nchi zilizoendelea kwasababu hali yetu ni tofauti, Kwa mfano kule first world countries, watu wengi wako kwa paid leave, huku Africa wengi wako kwa informal sector, ukiwekewa total Lock down, hakuna mshahara wowote utapewa na mtu... Kwahivyo Africa tusi copy paste mikakati ya uzunguni bila kuangalia hali zetu za kiuchumi...

Lakini vile vile, hio ripoti ya WB imetoa mifano kadhaa ya kugiziwa ya nchi za Africa ambazo mbali na kueka mikakati ambayo nchi zengine zinaweka, pia tumeongeza mikakati ambayo inaangalia hali zetu ya kiuchumi,

View attachment 1418314

Huku Kenya sahii machifu na wazee wa kijiji wanazunguka kila kijiji au kitongoji duni na kuandika watu majina na kuchukua nambari za simu za kila mzee/mama wa nyumba, alafu watatumiwa 15,000 za kustiri familia zao kwa mwezi... Hii ni mikakati ambayo haijagiziwa kutoka huko nje, Hivyo ndo WB ilikua inajaribu kusema, kwamba tusi copy paste tu mamb ya ulaya, ila tuangalie hali yetu kwanza.....

Ripoti original hii hapa, kajisomee uniambie wapi TZ katumika kama mfano mzuri

Africa's Pulse, No. 21, Spring 2020 : An Analysis of Issues Shaping Africa’s Economic Future
Wacha ukichaa wewe, Ripoti haiwezi kuandika mambo ya kumpongeza kiongozi, ila viongozi wamapoita "Press conference" kwa ajili ya kuizindua hiyo ripoti ndio wanazungumza na kutoa mifano mbalimbali, ndio maana ya waandishi wa habari kualikwa kuhudhutia kuzinduliwa kwa ripoti mbalimbali, usitegemee hiyo mifano kuwepo katika official ripoti.

Hivi wewe kwa akili yako, unategemea hao waandishi wa "Red pepper", ambao hata sio watanzania na wala hawamjui Magufuli, na kuna uwezekano hata Tanzania hawaijui, wamepata wapi hiyo habari, au unadhali wamejiandikia kwa matakwa yao?. Hivi unajua kwamba ni kosa kubwa kulisingizia shirika kubwa kama WB kumsifia rais wa nchi?

Wacha wivu jombaa. " Tanzania ni mfano wa Kuigwa".

Red pepper ni gazeti la Uganda, Uganda sahii wako kwa 21 days lockdown na watu wanaumia... Ndio maana unaona anaongelea kuhusu mataifa ya EA pekee.... Alafu kwenye "press conference" hua wanazungumzia kilichoko ndani ya taarifa, hakuna conference yeyote ambayo watu walio andika taarifa wataongelea kitu ambacho hakiko ndani ya taarifa!!!!!!! .......Kwenye press conference hua wanatoa "summary' ya mambo yaiyomo ndani ya ripoti!

Kwa mfano, ukiangalia kwa hio ripoti, kuna sehemu kadhaa ambapo KEnya imetajwa kama nchi zenye mifano mizuri ya kuigwa..

1586859030891.png

Mifano yote ambayo inatolewa kwa press conference hua utaipata ndani ya taarifa ukiisoma vizuri! Hata kama wametumia maneno mengine kwa press conference, ukienda kwa ripoti yenyewe lazima utapata fununu/dalili/ushahidi ambao una support kilicho ongelewa kwa press conference
Kama kweli mlisifiwa kwa press conference, itakuaje kwa ripotiyenyewe hakuna dalili yeyote kwamba nyinyi mfano wa kuigwa?

Kwa mfano, hapa hili jedwali linaonyesha nchi tofauti za Africa na hatua za kiuchumi zilizochukuliwa na hizo nchi kupambana na corona

Kwa hiyo ripoti inaonyesha Kenya imechukua hatua kwa Fiscal, monetary na macro-financial policies
1586859306020.png

Kwa Tanzania inaonyesha mmechukua hatua chache sana

1586859688583.png

Hebu sasa angalia nchi kama Mauritius ilivyo jipanga na kila aina ya mikakati ..... Kwwenye press conference hizi ndo nchi ambazo zitasifiwa, alafu ukisoma taarifa yenyewe ndo utaona dalili/fununu/ushahidi kwanini walisifiwa kwa press conference.

1586859795972.png
 
Ushahidi huu hapa, Waingereza hawapimi wanatumia dalili zaidi.https://youtu.be/TH8_smmtDng
Ninyi ni watu wa kuiga toka nchi zingine, uwezo wa kupanga mambo yenu wenyewe hamna. Umesikia WB walivyoisifia Tanzania kwa kujipangia mambo yake bila kuiga kama ninyi wakenya?. Wakenya hamna akili ya kushindana na Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
UK inapanga kufanya 100,000 tests a day by mwezi ujao kutoka 25,000 tests wanazofanya sahii, tena wapandishe hio hadi 250,000 test a day! pale mwanzo walikua wanasema si lazima, hivi wamegundua ilikuani makosa makubwa sana!!!!

--------
Downing Street has insisted it remains on target to ensure 100,000 tests a day for coronavirus by the end of the month – despite the latest figures showing only a fifth of this number are being carried out.
At the daily briefing for lobby journalists, the prime minister’s spokesman disclosed the statistics while defending the decision to allow Michael Gove’s daughter to be tested for the illness – at a time when some NHS and care home staff are still waiting to be tested themselves.

On 25 March, at the last prime minister’s questions before the Easter recess , Boris Johnson told MPs that the government was “massively increasing” testing up to 25,000 per day. Later that day he told a press conference that “hopefully very soon” he wanted to reach a target of 250,000 tests a day, although when Matt Hancock, the health secretary, set a formal target to be achieved by the end of April, he settled on 100,000 tests a day.
No 10 says UK on track for 100,000 tests a day despite current low total
 
Tuombe mungu hali isiwe kama italy, au USA coz mtu unaweza kufiwa mpaka ukaona hamna haja tena ya kuzika wala hutokuwa na sababu ya kufatilia taarifa tu itatosha
Amen!!
 
Nafikiri ni muhimuni muhimu sana kuitumia mitandao kwa busara kuliko majigambo.Maafa duniani yapo ya mtindo mwingi na sio kila siku yatatokea sehemu moja.Ni muhimu kipindi cha maafa watu kushirikiana,kufarijiana,kupeana mawazo ya ufumbuzi kuliko kuyatumia maafa kumdharau mtu.Kenya ni majiran zetu kuna mengi ya msingi naamin tunashirikiana kwa faida kuliko kuwadharau hivi.Hili ni janga na unafuu kwetu ni wenzetu pia wapate ufumbuzi,wakitaabika wao hata sisi hatuko salaama.Kipindi cha maafa sio cha kumwita mtu mjinga bali kumpa mkono wa faraja na sapoti.
 
Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?.

Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.

Viva Tanzania; Tumejipanga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nashauri hilo gari la fire lingekaa uwanja wa ndege na vituo vya daladala na masokoni kumwagia wananchi hayo maji na kuwapulizia moshi.
 
Red pepper ni gazeti la Uganda, Uganda sahii wako kwa 21 days lockdown na watu wanaumia... Ndio maana unaona anaongelea kuhusu mataifa ya EA pekee.... Alafu kwenye "press conference" hua wanazungumzia kilichoko ndani ya taarifa, hakuna conference yeyote ambayo watu walio andika taarifa wataongelea kitu ambacho hakiko ndani ya taarifa!!!!!!! .......Kwenye press conference hua wanatoa "summary' ya mambo yaiyomo ndani ya ripoti!

Kwa mfano, ukiangalia kwa hio ripoti, kuna sehemu kadhaa ambapo KEnya imetajwa kama nchi zenye mifano mizuri ya kuigwa..

View attachment 1418830

Mifano yote ambayo inatolewa kwa press conference hua utaipata ndani ya taarifa ukiisoma vizuri! Hata kama wametumia maneno mengine kwa press conference, ukienda kwa ripoti yenyewe lazima utapata fununu/dalili/ushahidi ambao una support kilicho ongelewa kwa press conference
Kama kweli mlisifiwa kwa press conference, itakuaje kwa ripotiyenyewe hakuna dalili yeyote kwamba nyinyi mfano wa kuigwa?

Kwa mfano, hapa hili jedwali linaonyesha nchi tofauti za Africa na hatua za kiuchumi zilizochukuliwa na hizo nchi kupambana na corona

Kwa hiyo ripoti inaonyesha Kenya imechukua hatua kwa Fiscal, monetary na macro-financial policies
View attachment 1418831

Kwa Tanzania inaonyesha mmechukua hatua chache sana

View attachment 1418838

Hebu sasa angalia nchi kama Mauritius ilivyo jipanga na kila aina ya mikakati ..... Kwwenye press conference hizi ndo nchi ambazo zitasifiwa, alafu ukisoma taarifa yenyewe ndo utaona dalili/fununu/ushahidi kwanini walisifiwa kwa press conference.

View attachment 1418841
Wacha ujinga wako wewe, ninauhakika hujawahi hudhuria "press conferess" hata moja katika maisha yako. Katika press conferences ndio sehemu ambayo wenye kuzindua ripoti wanazungumza mambo ambayo hawajaandika katika hiyo ripoti, ikiwemo kujibu maswali ya papo kwa papo kuhusu ripoti.

Sasa kama lazima wazungumze yale tu yaliyoandikwa katika ripoti, kuna sababu gani ya kuita waandishi wa habari, kwanini wasisambaze tu hiyo ripoti katika vyombo vya habari?.

Lengo la kufanya "press conference" ni ili kuekeza na kufafanua zaidi ya Yale yaliyomo ndani ya ripoti. Wacha kuchanganya kati ya " Press conferess " na " Press release ". Katika press release ndio lazima iandike kile kilichomo ktk ripoti tu

Press released = Summary of the report
Press Conference = To elaborate the report.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom